Sunday, August 6, 2017

UNAJUA KWANINI WANAWAKE WA KIISLAM WANASAKIZIA WATOTO WAO WAJILIPUE KWA AJILI YA ALLAH?

Image may contain: 3 people
Walahi, kuna dhambi mbaya sana kwenye hii dini ya Jibril.
Muhammad anasema kuwa, mtu aliyefiwa watoto watatu nasamehewa dhambi zake zote.
Katika sahih Bukhar na Muslim juzuu ya 9 Hadith 413
“Hadith ya Abu Said Al-khudri (r.a) amesema, alikuja mwanamke fulani kwa Mtume wa Allah! Na akasema kumwambia mtume wa Allah (SAW) “ Wanaume ndio pekee wenye kufaidika na mafundisho yako, kwa hiyo tutengee siku moja, tunakuja, unatufundisha katika katika aliyokufundisha Allah. Mtume (SAW) jikusanyeni siku kadha wa kadha mahala kadha wa kadha, wakajikusanya. Mtume wa Allah (SAW) akawaendea akafundisha katika aliyomfundisha Allah kisha akasema, Hakuna Mwanamke miongoni mwenu atakayetanguliza watoto wake watatu, isipokuwa watakuwa pazia ya kumkinga na moto, Mwanamke mmoja katika wao akauliza, Ewe mtume wa Allah, Wawili je? Yule mwanamke akalirudia swali lake mara mbili, Mtume (SAW) akasema wawili na wawili na wawili.
Hivi, hawa ndugu zetu wamerukwa na akili, au ndio wamejaa majini kiasi cha kupoteza akili za kawaida tu.
Wakati mwingine najua ulikuwa unajiuliza, kwanini hawa Waislam wanaruhusu watoto wao wafe kwenye Jihad ya Allah. Jibu umesha lipata leo, kuwa wanajilipua ili namba yao ifikie tatu, na familia yao inasamehewa dhambi.
Hakika Allah hawezi kuwa Mungu mwenye upendo.
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW