Sunday, December 31, 2017

ASKOFU ZACHARIAH KAKOBE

Image may contain: 2 people, people standing
"Wewe unaabudu miungu, unakwenda kwa waganga kiongozi wa serikali, unavaa hirizi kiunoni ili ulinde cheo chako cha serkali, unafikiri utanitisha mimi?"
Askofu Zacharia Kakobe.
"Unaota ndoto za malaika wa giza unadhani umemwona Yesu?"
Askofu Zacharia Kakobe
" Unaogopa kufa? Kufa lazima ufe na utakufa mara moja tu. La msingi ufe katika imani."
Askofu Zacharia Kakobe
"Mimi nawaambia usalama wa Taifa wasisumbuke na Kakobe, huyu mtu ni jabali. Hata simba akitokea hapa ukipima mapigo yangu ya moyo ni ya kawaida sitishiki."
Askofu Zacharia Kakobe
"Kama hujawahi kuona mtu mwingine aina ya Kakobe ndio mimi sasa, hamnibabaishi na vitu vidogo vidogo hivi."
"Eti ooh tunafuta kanisa, unaweza kunitisha kwa kufuta kanisa? Ohh tunakupeleka mahakamani tukuondoe, siku mkiniondoa hakutakuwa na watu hapa wanasali, wataondoka na kunifuata."
Askofu Zacharia Kakobe
MANENO YANGU
1. Wanavaa hirizi ili walinde vyeo.
2. Wanaota ndoto za Malaika wa giza
3. Wanaogopa kufa
4. Wanataka kulifunga Kanisa.
Tuendelee kuimboea nchi 2018 AD inakuja

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW