Friday, December 8, 2017

MUHAMMAD ALIFIA KIFUANI KWA AISHA

Mwana Historia ibn Ishaq - aliyefariki mwaka 767/773 BK, 145/151 BH

"Yahya b. Abbad b. Abdullah b. al-Zubayr kutoka kwa baba yake aliniambia kuwa alimsikia Aisha akisema: "Mtume alifia kifuani pangu wakati wa zamu yangu: Sijamkosea mtu yoyote yule kuhusiana naye. Ilikuwa ni kwa sababu ya kutokujua kwangu na udogo uliozidi kiasi hata Mtume akanifia mikononi mwangu."

(Guillaume, A., The Life of Muhammad, tafsiri ya Ibn Ishaq's Sirat Rasul Allah, Oxford University Press, Karachi, Pakistan, uk. 682). A'isha alisema kuwa alikuwa kijana sana wakati Muhammad anakufa.
Image may contain: 2 people, text

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW