Thursday, December 14, 2017

JE, UISLAM UNAHUSIANA VIPI NA NAMBA 666?

Image may contain: text
Neno “mpinga-Kristo,” linalotokana na neno ya Kigiriki linalomaanisha “dhidi ya (au badala ya) Kristo,” linafafanua mtu yeyote anayefanya mambo yafuatayo:
Anakataa kwamba Yesu ndiye Kristo (Masihi) au anakataa kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.—1 Yohana 2:22.
Anampinga Kristo, Mtiwa-Mafuta wa Mungu.—Zaburi 2:1, 2; Luka 11:23.
Anajifanya kuwa Kristo.—Mathayo 24:24.
Anawatesa wafuasi wa Kristo, kwa kuwa Yesu huona mambo wanayotendewa kana kwamba ni yeye anayetendewa.—Matendo 9:5.
Anadai kwa uwongo kuwa Mkristo huku akitenda matendo ya uasi-sheria au ya udanganyifu.—Mathayo 7:22, 23; 2 Wakorintho 11:13.
Wamebadili jina la Yesu Kristo na kumuita Isa bin Maryam. Jina ambalo sio tafsir ya Yesu kwa Kiarabu. Yesu kwa Kiarabu ni Yasu.
Jinsi ya kuwatambua wapinga-Kristo:
Wanaeneza mawazo ya uwongo kumhusu Yesu. (Mathayo 24:9, 11)
Wanasema kwamba Yesu ni Bwana wao, lakini hawatii amri zake, kutia ndani amri ya kuhubiri habari njema ya Ufalme.—Mathayo 28:19, 20; Luka 6:46; Matendo 10:42.
SASA TUUANGALIE UISLAM:
Uislam umejengeka kupitia kitabu change kiongozi ambacho ni qruani. Kitabu hiki kina jumla ya sura 114 na maneno 6666! Kumbuka hesabu ya mpinga kristo ni 666! Sasa hapa ili shetani asijidhihishe wazi kwa Kuwa aliona Yesu amefunua siri hii kwa ulimwengu. Akaamua kuongeza sita moja nyuma ya mia sita sitini na sita.
Kwa nini Bwana Yesu anatoa onyo lifuatalo? Na mwingine, malaika wa tatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana- Kondoo. (Ufunuo 14:9-10).
Lakini hii haitoshi, moja ya dalili kubwa kabisa za mpinga kristo ni kuwaua na kuwafunga gerezani wafuasi wa YESU.
Qruan imeagiza kwamba kama mtu ni mwislam kisha akaamua kuuacha Islam, mtu huyo auawe maana amekuwa kafiri!
Tumeona mara kwa mara waislamu wakitekeleza mauaji na uharibifu wa mali za wakristo, wakichoma moto mahekalu. Mfano:Tumeona wakichoma moto makanisa hapa kwetu dar es salaam na sehem zingine.
Kwa sura hii moja kwa moja uislamu ndiye mpinga kristo.!
Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini hawachomi moto nyumba za waganga wa kienyeji, lakini wanashughulika na wakristo tu! Ni kwa sababu misheni ya mpinga kristo sio kuwasumbua watu ambao wako chin ya shetani, Bali ni kuwataabisha wafuasi wa YESU na kuhakikisha hawaendelei kuwepo duniani.
Rafiki, tuko katika dunia ya shida. Na hizi ni nyakati za mwisho, kaza mwendo ukimtazama Bwana maana siku zetu hazikawii kuisha. Mungu akupe nguvu za kuweza kushindana siku ya uovu kwa Jina la YESU.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW