Friday, January 21, 2022

VITUKO KWENYE UISLAM SEHEMU YA NNE

 Soma viroja na vituka vya Marehemu Muhammad.

Salaf walikuwa wakikanusha na kubadilisha aya za Quran (Na’uzubillah). [Majmua al-Fatawa Juzuu ya 12 ukurasa wa 492]

Mtume (saww) aliifanya Tahrif ya Kurani akiwa amekuja chini ya ushawishi wa Shetani (Na’uzubillah). [Tafseer Dur al Manthur, Juzuu ya 4 ukurasa wa 367]

Mtume (s) alibakia kuwa muabudu masanamu kwa muda wa miaka 40 (Na’uzubillah). [Fakhruddin al Razi, Juzuu ya 8 ukurasa wa 424]

Mtume (s.a.w.w.) alitaka kujiua baada ya kupata ule wahyi wa kwanza. [Sahih Bukhari Juzuu 9, Kitabu cha 87, Namba 111]

Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) alikuwa hajui dini na mwongozo sahihi (Na’uzubillah). [Aysar al-Tafasir cha Abu Bakr al-Jazaeri, juzuu ya 5 ukurasa wa 2070]

Mtume (s) aliingia Msikitini kuongoza Swala katika hali ya uchafu (Na’uzubillah). [Sahih Bukhari, Kitabu cha Ghusl Juzuu ya 1, Kitabu cha 5, Namba 274]

Mtume (s) alikuwa akikojoa akiwa amesimama (Na’uzubillah). [Sahih Muslim, Kitabu cha utakaso 002, Nambari 0523]

Mtume (s) alitanguliza kutafuta mkufu badala ya Swala (Na’uzubillah). [Sahih Bukhari, Kitabu cha Tayamum Juzuu 1, Kitabu cha 7, Namba 330]

Madhabahu ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) yanapaswa kupigwa buldod (Na’uzubillah). [Tuhfat al-Mujib cha Muqbel al-Wadei, ukurasa wa 406]

Mtukufu Mtume (s) alitafakari uzinzi (Na’uzubillah). [Sahih Ibn Habban, Juzuu ya 14 ukurasa wa 169]

Shalom

Dr. Max Shimba for Max Shimba Ministries

1 comment:

Yakobo Frank Malunga said...

Nafurahi kwa masomo dhabiti yenye kuwa na hakika katika vitabu Wala si maneno matupu... Ubarikiwe

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW