Ndugu msomaji,
Leo tutajifunza asili na au mwanzo wa Quran na Uislam ni nini na au nani?
Bila ya kupoteza muda, hebu tuanze kusoma vitabu vya Waislamu.
KAMA MUHAMMAD ALIZALIWA NA SHETANI, AKACHEZEWA NA MASHETANI MNAMFUATA KWA LIPI?
1. KUZALIWA KWAKE MUHAMMAD,
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389).
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389).
Katika uthibitisho tulio usoma hapo juu, tumejifunza kuwa Muhammad alizaliwa kwa nguvu za Mashetani na huo mwanzo ni mbaya sana maana hatuna aya au hadith ambayo inasema kuwa, Muhammad alitolewa hayo Mashetani alipopewa unabii na kiumbe cha ajabu ajabu.
Cha kushangaza, Muhammad anapewa unabii na kiumbe cha ajabu ambacho kilimpiga kabali/loba mpaka Muhammad akaweeseka na kuona nyotanyota. Soma uthibitisho hapa chini.
2. MUHAMMAD BAADA YA KUTOKA PANGONI ANIKIRI YAFUATAYO,
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga"(Kitabu cha maisha ya Nabii Muhamaad s.a, uk.17 kilichoandikwa na Sheiky A.Farsy).

Umesoma mwenyewe na kuelewa kuwa kitendo cha Muhammad kupigwa mpaka kuweweseka namna hii hakika hakitoki kwa Mungu wa Adam, Ibrahim, Musa na Mitume wengine wa Biblia. Maana hakuna aya hata moja kwenye Biblia Takatifu inayosema kuwa Manabii wake wapigwa kabali na Malaika, bali tunasoma kuwa Manabii wote wa kwenye Biblia wapiewa Utume na Mungu mwenyewe na sio kiumbe cha ajabu kilicho msimika utume Muhammad usiku tena kwenye pango.
3. KUROGWA KWAKE MUHAMMAD,
Amesema Mwanaisha Mkewe Mtume kuwa "Yahudi Mmoja aitwaye Labiid bin Al'answan alimroga Mtume Muhammad, ikawa Mtume baadhi ya Nyakati huchanganyikiwa na kuanza kuita Ovyo ovyo.
(Sahih Muslim J. 4 uk. 38-39)