Thursday, December 29, 2016

NGURUWE HUKO CHINA AONEKANA AKISUJUDU MBELE YA MSIKITI.

Image may contain: outdoor
Katika Mji wa Wenzhou, Mashariki mwa China, Kitongoji cha Zhejiang, Nguruwe aliyetoroka kwenye shamba la ufugaji na kwenda moja kwa moja kwenye Msikiti na Kumsujudia Allah aligeuka na kuwa gumzo la jiji.
Habari hii iliwavutia watu wengi ambao hawajua kama huyu Nguruwe amesilimu na kuwa Muislam. Waislam wengi huwa wanadai kuwa eti KUSUJUDU NI UISLAM.
Je huyu Nguruwe ni Muislam kwasababu kasujudu?
Kwa habari kamili ingia kwenye link hapa chini.Image may contain: one or more people and outdoor
http://english.cri.cn/12394/2015/02/26/2281s867570_2.htm

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW