Sunday, August 6, 2017

MAGAIDI WA KIISLAM WA HEZBOLLAH WAMEBAMBWA WAKIUZA MADAWA YA KULEVYA KUTOKA KOLOMBIA

Kikundi cha Kigaidi cha Kiislam cha Hezbolla kimegundulika kuwa ni wauza madawa ya kulevya wakubwa kwa njia za magendo na kusambaza madawa hayo katika nchi za Ulaya. Pesa wanazo pata kutoka uuzaji wa madwa hayo ya kulevya wazipitishia Lebanon kwa kusaidia ugaidi wao.
Kikundi hiki za Hezbollah chenye makao yake Lebanon kimekuwa kikipitisha madawa hayo kimagendo kutoka Kolombia, hayo yalisema na aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya wa Marekani bwana Michael Braun.
Bwana Michael Braun alisema: "Hezbollah is “moving [multiple] tons of cocaine” from South America to Europe and has developed “the most sophisticated money laundering scheme or schemes that we have ever witnessed,” the Washington Times reported."
Ingia hapa kwa habari kamili.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW