Tuesday, January 10, 2017

MKRISTO MWENYE KUJITAMBUA HAWEZI KUMFUATA ALLAH ANAYE UGUA MACHO KAMA VIUMBE

Image may contain: one or more people


ALLAH ANA MACHO Na tunaamini kuwa Allah Anayo macho mawili kikweli, na hii inatokana na kauli Yake Subhaanahu wa Ta’ala Aliposema kumwambia Nuuh (‘Alayhis-Salaam):
وَاصْنَعِ الْفُلْكَ بِأَعْيُنِنَا وَوَحْيِنَا
"Na unda jahazi mbele ya macho yetu na kwa mujibu wa ufunuo wetu."
"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)
Hapa inaonekana Allah alijisahau na akajitupia ugonjwa wa Macho, RED EYES. Sasa Mungu gani huyu anaye Umwa kama Viumbe? Hakika Allah si Mungu bali ni kiumbe,

No comments:

Mohammad’s Myths vs. Biblical and Scientific Reality: A Scholarly Debate on Laughter, Heart, and Divine Truth

By Dr. Maxwell Shimba, Shimba Theological Institute Introduction In evaluating the truth-claims of any religion, the alignment between i...

TRENDING NOW