Tuesday, March 14, 2017

Kwanini Allah na Muhammad hawapendi wanawake?

Image may contain: one or more people and indoor
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“AKIMWITA MMOJA WENU MKEWE KITANDANI KWAKE (KUMUINGILIA), BASI AKIKATAA MKE KWENDA (KUTIMIZA HAJA YA MUMEWE), (BASI YULE MKE) ANALAANIWA NA MALAIKA MPAKA ASUBUHI.”
((Allah Amemlaani mwanamke anayefanya tatoo (chanjo za kujichora), na mwenye kuomba kufanyiwa, anaye paka hina, na anayetoa nyusi na mwenye kuomba kutolewa na anayechonga meno kuweka nafasi (mwanya), kubadilisha maumbile ya Allah kwa ajili ya kupata uzuri )) Al-Bukhaariy Imetoka kwa 'Abdullah Ibn Mas'uud (Radhiya Allaahu 'anhu) (BUKHARI ,HADITH NA.408 ,JUZUU YA 6)
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“(MWILI WA) MWANAMKE NI UCHI, AKITOKA (NJE, BASI) SHETANI HUMKALIA MBELE YAKE, NA ANAKUWA KARIBU SANA NA (RADHI ZA) MWENYEZI MUNGU KILA ANAPOKUWA NYUMBANI KWAKE.”
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“MWANAMKE YEYOTE YULE AKIINGIA MSALANI (CHOONI) BILA YA SABABU (MUHIMU) WALA UGONJWA (LAKINI KWA AJILI YA) KUJITAZAMA WEUPE (WA PAMBO) LA USO WAKE, BASI MWENYEZI MUNGU ATAUFANYA USO WAKE KUWA MWEUSI SIKU (YA KIYAMA, AMBAYO SIKU HIYO NYUSO ZA WAISLAM) ZITAKAPOFANYWA KUWA NYEUPE.”
Katika Sahih Bukhari, Vol 7, Bk 62, No. 126 Mtume alisema, “Niliangalia jehanamu na kuona kuwa walio wengi ni wanawake.”
Katika Sahih Bukhari, Vol 3, Bk 48, No. 826 Mtume alisema, “Je, ushahidi wa mwanamke si sawa na nusu ya ushahidi wa mwanamume?” Wanawake wakasema, “Ndiyo, ni hivyo.” Mtume akasema, “Hiyo ni kutokana na upungufu wa akili wa mwanamke.”
Katika Mishkat_al-Masabih, Vol. 2, p 105 Mtume alisema, “ Katika siku ya hukumu, mwanamume hataulizwa kwa nini alimpiga mkewe.”
Katika Sahih Muslim, Bk 004, No 1034 Abu Huraira anasema: Mjumbe wa Allah alisema, “Mwanamke, punda na mbwa huvuruga swala.”

ILA SIKU ZOTE NIMEKUWA NAMPENDA SANA AISHA, maana alikuwa muwazi na mkweli. Alitakiwa awepo kwenye maadhimisho haya:
Mfano, katika Sahih Bukhari, Vol 7, Bk 72, No. 715 Aisha alisema, "Sijawahi kuona mwanamke anayeteseka kama wanawake walioamini.” – yaani walioamini Uislamu.
Wakati Muhammad anasema PIGA TU WANAWAKE HUTAULIZWA CHOCHOTE, Yesu anasema: Enyi waume, WAPENDENI WAKE ZENU, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake. (Efe 5:25)
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“MWANAMKE YEYOTE YULE KAJIPAKA MAFUTA MAZURI AKAPITA KARIBU NA WATU WAKAPATA (WALE WATU) KUNUSA HARUFU YAKEBASI YEYE MWANAMKE KAZINI.”
Vile vile Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema:-
“MWANAMKE AKIJIPAKA MAFUTA MAZURI BASI AKAPITA MAJLIS, BASI YEYE KAZINI.”
Na akasema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam):-
“MWANAMKE YEYOTE YULE KAJIPAKA MAFUTA MAZURI KWA AJILI YA (KWENDA) MSIKITINI (BASI) HAIKUBALI MWENYEZI MUNGU SALA YAKE MPAKA (KWANZA) AOGE UOGAJI WA JANABA.”
POLENI SANA WANAWAKE WA KIISLAM.
HIVI KUNA JEMA LOLOTE HUKO KWENU?

No comments:

 

TRENDING NOW