Friday, March 3, 2017

KWANINI MUHAMMAD ANASEMA JIBRIL NI SHETANI?

Image may contain: 1 person, text


YALIYOMKUTA MTUME BAADA YA KUTOKA PANGONI!
Basi Mtume akafanya khofu, akarejea kwa mkewe, akamhadithia, na pale pale homa kubwa kabisa, ikampanda, akataka afunikwe maguo, akawa anatetemeka kwa ngerema, na kuweweseka, na kusema, "Najikhofia nafsi yangu, kuchezewa na mashetani, na kuniharibu akili yangu na kunizuga".
MKEWE AMPA UTUME ILI KUMFARIJI!
Pale pale bibi Khadija akamdakiza, akamwambia, "Wacha hayo siyo yatakayokuwa hayo, wewe huwezi kuchezewa na mashetani, shetani hawezi kumchezea mtu mwenye sifa zako, wewe unatazama vema Jamaa zako, unawadhihirisha watu sifa nzuri, ambazo hukuwa mwenye nazo, unachukua mizigo ya watu wasiokuwa wako, unafanya hivi, unafanyi hivi, furahi ndugu yangu, pumua moyo wako, Wallahi mimi mkeo naona umekwisha kuwa mtume."
(Kitabu cha wakeze Mtume wakubwa na wanawe, uk. 12)
HIZO NI DALILI ZA MTU ALIPANDWA NA MALARIA KICHWANI!

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW