Thursday, March 22, 2018

ALLAH ANAWEZAJE KUWA NA KIVULI BILA YA MWILI?



KIVULI CHA ALLAH
ALLAH ANAWEZAJE KUWA NA KIVULI BILA YA MWILI?
Nikisema Allah ni kiumbe Muhammadans mnapandisha majini. Sasa nimewawekea kitabu chenu.
Imesimuliwa na Abu Huraia: Mtume Muhammad alisema, "Watu Saba watafunikwa na Mwenyezi Mungu chini ya kivuli chake siku ambayo haita kuwa na kivuli ila yeye. (Abu Hurairah & collected in Saheeh al-Bukhari (English trans.) vol.1, p.356, no.629 & Saheeh Muslim (English trans.) vol.2, p.493, no.2248)) https://www.sunnah.com/bukhari/24/27

Ushihid zaidi:Jami' at-Tirmidhi, Book 14, Hadith 109: https://www.sunnah.com/tirmidhi/14/109
Bulugh al-Maram, Book 4, Hadith 632:https://www.sunnah.com/urn/2107660
More Reference :
Sahih al-Bukhari 1423
In-book reference : Book 24, Hadith 27
USC-MSA web (English) reference : Vol. 2, Book 24, Hadith 504
Msipaniki jibuni kwa aya. Kivipi Allah wenu awe na kivuli bila ya mwili?
Shalom.

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW