Sunday, March 25, 2018

YESU NI KIBOKO YA WANASAYANSI NA WANA FIZIKIA


No automatic alt text available.
Do miracles violate the laws of physics?

Yesu ndiyo kiboko ya wana Sayansi wote mnao wajua kwa sababu alivunja sheria na kanuni zote za Sayansi.

Je unafahamu kwanini aliweza kuvunja sheria na kanuni za sayansi?

UTHIBITISHO:

KAMA FLOTATION "Archimedes' Principle with Newton's Second law applied to an object in equilibrium (floating)" kwa kutembea juu ya maji bila kuzama: Mathayo 14:23-34, Marko 6:45-52

GRAVITATION FORCE "Newton's law of universal gravitation" kwa kupaa juu bila palachuti wala ndege: 1 Wakorintho 15:3-8; Ufunuo 21:3, 4; Matendo 1:1-11.

MATHEMATICS LAWS "Factorial notation" kwa kulisha watu zaidi ya 5000 Samaki 2 na Mikate 5 na kusaza: Mathayo 14:14-22; Luka 9:10-17; Yohana 6:1-15

DEATH LAWS kwa kufa na kufufuka: Luka 24:6

MEDICAL CARE kuponya watu bila kutumia dawa: Mathayo 15:30, 31; Luka 13:10-17; Mathayo 20:29-34.

Yesu aliweza kuzivunja sheria za sayansi kwasabau ni yeye ndie alie ziumba hapo mwanzo. (Yohana 1:3,14 ) “vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakukufanyika chochote kilichofanyika. Naye Neno alifanyika mwili; nasi tukauona utukufu wake kama utukufu wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli”.

Yesu aitwa Neno la Mungu (Ufunuo 19:13) “Kwahiyo Neno ni Mungu “(Yohana 1:1).. na huyo ndiye aliyevifanya kuwako vitu vyote.

Aliyeshuka kutoka juu na kufanyika mwili ni Yesu pekee aliyezaliwa na bikira Mariamu bila mbegu ya kiume kama inavyotokea kwa wanadamu wengine..

Nimewakea machache leo, ili mfahamu kuwa, Yesu ni zaidi ya Nabii na alivunja sheria za kisayansi na biologia kwa kufufua watu, kutemebea juu ya maji, kuponya wagonjwa, kupaa bila ya mabawa, nk.

Shalom,

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW