Wednesday, March 28, 2018

KWANINI NI MUHIMU KWA MKRISTO KUNENA KWA LUGHA - NDIMI?



Kunena katika ndimi. Matendo ya Mitume 2:


Wakati mtu anaponena kwa lugha, akili na ufahamu hupumzika.


Roho Mtakatifu anatumia kinywa cha mtu tu, sio bongo au akili ya mtu.


Usemi ni ya kiroho


Kuna aina nyingi za kunena kwa lugha. ( Lugha mbali mbali )


UNAJUA KUSUDI LA KUNENA KWA LUGHA?

1. Ni dhihirisho ya kiroho ya kubatizwa katika Roho Mtakatifu ( Matendo ya Mitume 10:46)


Ili mwanadamu aweze kuwasiliana na Mungu Kiroho. ( 1 Wakorintho 14: 2 )

Ili waumini wamtukuze Mungu. ( Matendo ya Mitume 10:46)

Ili itubariki sisi wenye. ( 1 Wakorintho 14:39)

Ili itubariki katika nyimbo katika Roho. ( Wakolosai 3:16)

Ili roho zetu, mbali na mawaso yetu, iweze kuomba. ( 1 Wakorintho 14:14)

Kwamba pamoja na kutafsiriwa kwa lugha, kanisa iweze kuinuliwa. ( 1 Wakorintho 14:12,13,5,26.)

Ndimi ni kama ishara kwa wale wasio amini. ( 1 Wakorintho 14:22)

KUTASFIRI LUGHA-NDIMI

Kutafsiri lugha ni katika hali ya kiroho, usemi wa kiajabu.


Inahusika hasa na kunena kwa lugha.


Kuna mashauri machache kuhusu maswali ambayo mara kwa mara inaulizwa:


Kutafsiri ndimi sio sawa na kutafsiri lugha moja hadi lingine. Kutafsiri lugha fulani ni kutafsiri neno kwa neno bali kutafsiri ndimi ni kutoa maana.

Kutafsiri ndimi yaweza kuwa kupitia picha, maelezo ama kinaganaga.


2. Asili, vipawa vya kiasili, na elimu na pia utaifa wa mwenye kutafsiri ita adhiri utafsiri bali kipawa sio kwa ajili hiyo ila kwa miujiza.


Wale ambao hunena kwa ndimi ni bora waombe kwa ajili ya kipawa hiki cha kutafsiri. ( 1 Wakorinto 14:13)

Mtu asitafsiri. ( 1 Wakorinto 14:27)

Kutoa ujumbe kwa lugha mengine na kujitafsiria yaweza kujizoeza.

Andiko yatueleza tusitoe zaidi ya ujumbe tatu katika mkutano moja. ( 1 Wakorinto 14:27 )

Shalom

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW