Friday, March 23, 2018

MUHAMMAD AMESEMA NGONO NI SADAKA KWA ALLAH NA JAMBO LA KUBURUDISHA ZAIDI KWA WAISLAM

Image may contain: 1 person, standing
Kujamiiana na mahusiano ya kijinsia, pamoja na mwenza halali yanatawaliwa na maumbile asilia, na wakati huo huo ni sunnah ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) na Ahlul-Bayt wake (a.s.).

NGONO NI KIBURUDISHA CHA JUU KWA WAISLAM:

Yametajwa pia kwamba ngono ndio jambo la kuburudisha zaidi kwa Waislam. Kikundi cha marafiki wa Nabii wa Allah (s.a.w.) wanasimulia kwamba, Nabii wa Allah alituuliza sisi: “Ni nini kinachoburudisha zaidi?” Sisi tukasema: “Kuna vitu vingi vinavyoburudisha.” Nabii Muhammad akasema: “Kile kinachoburudisha zaidi hasa ni kufanya mapenzi na wake zenu.” Nukuu kutoka Ibn Hisham (Basra; Fustati c. 281 A.H.)

Imesimuliwa vilevile kutoka kwa Imam as-Sadiq (a.s.): “Ama katika dunia hii au katika akhera, mtu hajawahi, na wala hatawahi, kupata starehe yenye burudani zaidi kuliko mahusiano ya kijinsia na wanawake, na hakika haya ndio maelezo ya maneno ya Allah (s.w.t.). ndani ya Qur’an, katika Surat Aali Imran, aya ya 14 Yeye ambapo anasema: “Watu wamepambiwa kupenda matamanio pamoja na wanawake na watoto…..”

NGONO NI SADAKA KWA ALLAH:

Wasa’ilush-Shi’a; Juz. 20, Uk. 109, namba 25163: Imam as-Sadiq (a.s.) anasimulia kwamba Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) alizungumza na mmoja wa masahaba zake katika siku moja ya Ijumaa na akamuuliza: “Je, umefunga leo?” Yule sahaba akajibu. “Hapana.” Mtume (s.a.w.w.) akamuuliza tena: “Je, umetoa chochote leo kama sadaka?” Akajibu, “Hapana.” Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) akamwambia: “Basi nenda kwa mke wako na hiyo ndio sadaka hasa kwake yeye. https://www.al-islam.org/node/25382#f_290d8136_4

Mtume (s.a.w.w.) akamuuliza: “Je, umekwenda kutembelea mgonjwa yoyote?” Akajibu, “Hapana.” Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) akamuuliza: “Je, umekwenda kusindikiza jeneza?” Akajibu, “Hapana.” Mtume (s.a.w.w.) akamuuliza: “Je, umetoa chakula kwa mtu masikini?” Akatoa majibu ya kinyume tena. Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) akamwambia: “Nenda kwa mke wako, na kumwendea mke wako ni sadaka (Mwendee ili upate malipo kwa ajili ya matendo yote hayo).” https://www.al-islam.org/node/25382#f_835fe35a_5

HABARI NDIO HII, KWA WENZETU NGONO NI SADAKA NA IBADA KWA ALLAH NA NDIO BURUDISHO PEKEE KWA WAISLAM. NO WONDER WANAJILIPUA KWA KUTAFUTA WALE MABIKIRA 72.

Shalom

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW