Thursday, March 22, 2018

KUMBE WAISLAM WANA SIFA ZA WAGALATIA


WASIO NA AKILI WOTE WANASEMA KUWA YESU HAKUSURUBIWA KAMA WAGALATIA.

Wagalatia 3:1 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?
2 Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani?
3 Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili?

JE, WAISLAM WANAKIRI KUWA YESU ALISURUBIWA AU WANA PINGA KAMA WAGALATIA?

QURAN INAKUJIBU KAMA WAGALATIA KUWA YESU HAKUSURUBIWA: SOMA:

"Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuua Masihi 'Iysa, mwana wa Maryam, Mtume wa Allaah - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu, bali walifananishiwa tu. Na hakika waliokhitalifiana katika haya wamo katika shaka nayo. Wao hawana ujuzi nayo wowote, ila ni kufuata dhana tu. Wala hawakumuua kwa yakini. Bali Allaah Alimnyanyua Kwake, na hakika Allaah ni Mwenye nguvu, Mwenye hekima" (4: 157-158).


Aayah hizo mbili zilizo juu zinasema kuwa Nabii 'Iysa ('Alayhis Salaam) hakuuliwa bali walifananishiwa mtu mwingine kwa sura zake.

SASA KATI YA BIBLIA ILIYO KUJA KABLA YA QURAN NA KUTHIBITISHA KUWA YESU ALISURUBIWA, NI KITABU GANI TUKIFUATE?

Marko 15:33-45 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
::::Kifo Cha Yesu Msalabani:::::

33 Ilipofika saa sita, giza lilikumba nchi nzima kwa muda wa saa tatu. 34 Ilipofika saa tisa, Yesu akalia kwa sauti kuu “Eloi, Eloi lama Sabaktani?” Yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?” 35 Baadhi ya watu waliokuwa wanasimama karibu waliposikia maneno hayo, walisema, “Mnamsikia? Anamwita

LEO TUMEJIFUZA SIFA ZA WAGALATIA AMBAZO NI ZA WAISLAM WA LEO.

NI NANI ALIYE WAROGA NYIE WAISLAM MAGALATIA MSIO NA AKILI?

Shalom,

Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu. Tito 2:13

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW