Saturday, August 4, 2018

MUHAMMAD NA ALLAH HAWAJUI SAYANSI YA UZAZI WANADAI ETI MBEGU ZA KIUME ZINATOKA KWENYE UTI WA MGONGO

Image may contain: one or more people and text
MUHAMMAD NA ALLAH HAWAJUI SAYANSI YA UZAZI
WANADAI ETI MBEGU ZA KIUME ZINATOKA KWENYE UTI WA MGONGO.
Hebu soma aya ya Allah kwanza:
Surat Al Tariq 5. Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani? 6. Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa, 7. Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
Allah na Muhammad wanadai eti Mbegu za uuume "shahawa" zinazalishwa kwenye Uti wa Mgongo. Iweje Allah anashindwa kuelewa sayansi ya darasa la Nne?
SAYANSI INAKUJIBU KUWA:
Shahawa (ing. sperm, spermatozoon) ni mbegu za mwanaume zinazozalishwa katika korodani. Kila shahawa ni seli inayoweza kutembea nje ya mwili.
Kazi yake ni kubeba kromosomu zenye habari za jenetiki (yaani tabia za mwili inakotoka) na kupitia kwenye uterasi ya kiumbe cha kike na kuingia ndani ya ovidakti ( mirija ya uzazi ya kike)huko ndani ya yai. Kuingia kwa shahawa ndani ya yai kunasababisha maungano ya DNA za yai na shahawa na ugawaji wa yai ambao ni chanzo cha kiumbe kipya.
Mfumo wa shahawa ni "kichwa" kidogo kinachobeba DNA na mkia mrefu ambao mwendo wake unasogeza shahawa mbele. Umbo hili linafanana na kiluwiluwi mdogo lakini ni seli 1 tu.
Cha ajabu ALlah anadai eti hizi mbegu hutengenezwa kwenye UTI WA MGONGO huku ikifahamika kuwa zinazalishwa kwenye KORODANI.
NDIO MAANA HUWA NASEMA, ALLAH SIO MWENYEZI MUNGU, NA MUHAMMAD NI BANDIA KABISA.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW