Tuesday, August 14, 2018

ALLAH AMESEMA WANAWAKE WANAPO TUMIA MANUKATO WANAKUWA NI SAWA NA MALAYA


Mwanamke wa kiislam anapo-tumia manukato mwilini mwake anakuwa Malaya....
Mishkat al-Masabih – vol 2, p. 255
ALLAH AMELAA NI WANAWAKE WANAO KATA NYUSI. ALLAH ASEMA HUKO NI KUBADILISHA MAUMBILE ALIYO UMBA ALLAH
((Allah Amemlaani mwanamke anayefanya tatoo (chanjo za kujichora) Na mwenye kuomba kufanyiwa, na anayetoa nyusi na mwenye kuomba kutolewa na anayechonga meno kuweka nafasi (mwanya), kubadilisha maumbile ya Allah kwa ajili ya kupata uzuri)) Al-Bukhariy Imetoka kwa 'Abdullah Ibn Mas'uud (r.a.)
ALLAH ANASEMA KUWA: WANAWAKE WOTE NI MASHETANI NA WACHAFU KAMA SEHEMU ZA SIRI!!!
Wanawake ni mashetani; wao ni kama uchafu wa sehemu za siri.
Sahih Muslim - 8.3240, 3242; Ghazali - gombo la 2, p. 26, gombo la 2, p. 43
Baada ya Allah na Mtume wake kumwaga sheria kali kwa Wanawake wa Kiislam, Allah na Mtume wake wamalizia kwa kusema haya hapa:
Wanawake ni wabaya zaidi ya watu walio kufa (Maiti), hawaruhusiwi hata kufuata jeneza
Sahih Muslim - 4.2039
HIVI MWANAMKE WA KIISLAM UNAFANYA NINI HUKO?
Shalom

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW