Saturday, February 20, 2016

SHOGA MAARUFU DAR -AUNT ASU- AOKOKA

HATIMAYE ANTI ASU (SHOGA) ABATIZWA SASA AWA KIUMBE KIPYA


Anti Asundilo lilikuwa jina lake kabla ya kuamua kuokoka na kuacha ushoga kijana huyo wa kiislamu hatimaye amebatizwa na sasa amekuwa mkristo safi baada ya kutimiza haki yote ya kubatizwa kwa maji mengi kama hukusoma habari yake ya awali bonya hapa. 


Shoga maarufu Dar aokoka, na kuachana na ushoga ni Anti Asu kijana huyo sasa analelewa na mchungaji Dunstan Kanemba katika kanisa la TAG Magomeni Mikumi.
Anti Asu akiwa amevaliswa mavazi ya kupendeza na kujiona ni mwanaume tena hapa alikuwa anatambulishwa na Mch
Anti Asu akibatizwa na sasa anaitwa Amosi
Amosi akiwa na wazazi wake waki roho
Amosi amekuwa kiumbe kipya baada ya kufa na kuzikwa na kufufuka na kristo kwa ubatizo wa maji mengi
Huyu naye ni kati ya watu waliobatizwa siku hiyo ni Mzee Mbise anafanya kazi katika kampuni ya Dar express

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW