Tuesday, June 6, 2017

KWENYE UISLAMU NI RUKSA KUOA VITOTO VYAMIAKA SITA NA KUVIINGILIA VIKIWA NA MIAKA TISA

Image may contain: 2 people, meme and text
Hadithi ya Aisha (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amenioa nikiwa binti wa miaka sita, tukaja Madina tukafikia kwa Ban Al-Harith Khazraji nikapatwa na homa kali sana mpaka nywele zangu zikakatika katika baadae zikaja kuwa nyingi, Akanijia mama yangu Ummu Ruuman, akanikuta niko katika pembeya nikiwa na rafiki zangu, akaniita kwa sauti ya ukali, nikamwendea hata nisijue anachoniitia akanishika mkono mpaka akanifikisha mlangoni huku nina hema mpaka zilipotulia pumzi zangu akachukua maji akaanza kunifuta kwa maji hayo uso wangu na kichwa changu kisha akaniingiza ndani nikawakuta wanawake wa kiansari mle ndani wakasema, “uwe juu ya kheri na Baraka na uwe juu ya ndege bora, akanikabidhi kwao wakaniweka vizuri, sikustuka isipokuwa alipofika Mtume (s.a.w) asubuhi mama yangu akanikabidhi kwake, nami siku hiyo nilikuwa ni mschana wa miaka tisa” (BUKHARI, HADITHI NA. 234, Juzuu ya 5)
Sasa kama katika uislamu ufataki ni ruksa yaani mzee wa miaka 54 anaruhusiwa kuoa kitoto cha miaka sita, hivi kuna haja gani ya Mkristo kujiingiza kwenye Ufataki (UISLAMU) na kuanza kuharibu vitoto vya miaka sita? Yaani badala ya kufikiria Elimu kwa mtoto wako, huyo wa miaka sita, unafikiria kumuozesha kwa mzee wa miaka 54, kwa stahili hiyo sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki uslamu.

No comments:

 

TRENDING NOW