Tuesday, June 6, 2017

UISLAM NI DINI YA KULAZIMISHANA

Image may contain: 2 people, text
KWANINI ALLAH NA MUHAMMAD WANALAZIMISHA WATU WAJIUNGE NA UISLAM?

KUMBE UISLAM SIO DINI YA AMANI.

Uislam unafundisha nini kuhusu kulazimishana katika dini?
Ndugu msomaji,
Waislam wameembiwa wapigane na Makafiri au wawauwe au wakubali kujiunga na dini ya Muhammad. Uislam hauruhusu waumini wa imani zingine au dini zingine waabudu kwa uhuru. Ndio maana kwenye nchi za Kirabu kama Uarabuni kwenye Makkah, huko hakuna kanisa hata moja. Allah hapendi uhuru wa kuabudu.
Surat Tawba 29. Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii.
Surat Al Anfaal 38. Waambie wale walio kufuru: Wakikoma watasamehewa yaliyo kwisha pita. Na wakiyarudia basi imekwisha pita mifano ya wa zamani.
39. Na piganeni nao mpaka isiwepo fitna na mateso, na Dini yote iwe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Lakini wakiacha, basi hakika Mwenyezi Mungu anayaona wanayo yatenda.
Surat Tawba 5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Surat Al Baqaara 193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu tu. Na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu.
Surat Al Imran 84. Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
Juhudi za Muhammad za kuutanganza Uislam bila ya chuki ziligonga mwamba. Kwa miaka 13 Muhamamd alikuwa na watu 100 tu ambao wengi wao walikuwa ni ndugu zake na jamaa zake. Baada ya kushindwa vibaya sana kuutangaza Uislam kwa kutumia amani, Muhammad akabadilisha mbinu ya kuutangaza Uislam na kuteremsha hizi aya hapo juu za kulazimisha watu wajiunge na dini yake, au lasivyo watakiona cha mtema kuni, kama sio kuuliwa kabisa. Aliwaambia wafuasi wake kuwa Allah amemuamrisha kuwalazima watu wajiunge katika dini yake ya Uislam.
Katika miaka yake ya mwishoni. kabla ya kifo chake, Muhammad hakujali tena kwamba watu wanajiunga au, la, bali alikuwa analazimisha kila mtu ajiunge na Uislam kwa kutishia kifo. Hii ni pamoja na adui yake mkubwa Abu Sufyan na mke wake Hind. Kutokana na wana historia wa Kiislam, Abu Sufyan alikwenda kwa Muhammad kutaka wawe na amani baada ya chuki kubwa ya Muhammad, lakini Muhammad alimlazimisha kujiunga na Uislam, la sivyo alimwambia atamuua. Maneno halisi ambayo Muhammad alimwambia ni haya "Nyenyekea na shahadia kuwa hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni Mtume wake au ukikataa utakatwa kichwa chako" Soma Ushahdi katika Ibn Ishaq/Hisham 814. Hivyo basi Abu Sufyan akakubali.
Mji mzima wa Mekkah ulisaliti amri, pale Muhammad alipo uvamia akiwa na kundi lake. Wengi walikataa lakini walilazimishwa kuingia Uislam na walio kataa walikatwa kichwa na Muhammad mwenyewe.
Wengine walifukuzwa kutoka Mekka baada ya hija ya mwisho Soma Quran 9:5. Wakristo na Wayahudi walio kuwa Urabuni wakati huo, nao walipatwa na hii shida/balaa ya Muhammad kulazimisha kujiunga na Uislam au unauwawa. Wengi walipewa chaguo moja wajiunge na Uislam au wafukuzwe kutoka kwenye ardhi zao. SOMA Sahihi Muslim 19:4366.
Kabla hajafa, Muhammad alituma majeshi yake kwenda kuwalazima Wapagani wa Kiarabu kujiunga nae, kabila la al Harith. Aliwaambia wamepewa chaguo moja tu kujiunga nae au atawauwa wote kwa upanga. Lakini hilo kabila la kipagani liliogopa na kiunga nae. Baadae Muhammad akawalaani Wakristo wote na Wayahudi. SOMA Sahihi Bukhari 8:427.
Kutoka na al Shafi : "The Ordinances of the Quran", Muhammad alilazimisha watu wajiunge nae au aliwauwa watu walio mkataa. Soma Bukhari 53:386.
Vinyo hivyo, Abu Kabkr, aliye chukua baada ya Muhammad, alifanya Jihad mbaya zaidi katika nchi za jirani kwa watu walio ukataa Uislam. Katika Barua iliyo tumwa kwa Persians, Abu Bakr alisema kuwa "Silimuni na muwe waislam hapo mtakuwa huru na kama mkikataa basi eleweni kuwa nimekuja kwenu na Jeshi la Kiislam ambalo linapenda kuuwa watu, kama jinsi ninyi mnavyo penda maisha/uhai"
Hizi sifa za Muhammad sasa zinaonekana kwa akina Boko Haram, Al Qaeda, Al Shabab. Ushahid wa huu utamaduni vile vile upo kwa ISIS ambao wameuwa mamilioni ya watu huko Syria. Hata kule Afrika katika nchi ya Naijeria, Boko Haram wamekuwa mstari wa mbele kutekeleza amri hii ya Muhammad ya kuuwa Wakristo. Waislam wao wanaamini kuwa kufanya hivi ni kutekeleza matakwa ya Allah na watapewa Akhera kwa kulazimisha watu wajiunge na Uislam. Bukharu 52: 254.
Muhammad vile vile alilazimisha Wayahudi walipe JIZYA. Eti, kwasababu wamekataa kujiunga na dini yake. Hii ilikuwa ni mbinu ya kuwaumiza na kuwatesa Wayahudi, ili wajiunge na Uislam dini ya Muhammad. Bukhari na Ahmed (5114 au 4869, inategemea na tafsir)
Kitu kimoja inakubidi uelewe ni kuwa, katika Uislam, matendo ni zaidi ya kuamini katika Allah. Hata hivi leo, ukienda kwenye nchi zenye Waislam wengi, huwa hawapendi uwepo wa imani au dini nyingine. Mfano Saudi Arabia, kule Zanzibar, Somalia, nk.
Mwishoe, mtoto wa Abu Sufyani, Muawiyah, alifanikiwa kuuteka na kumshinda mtoto wa kufikia wa Muhammad, Ali. Vilevile alimlisha sumu Hassan, mmoja wa wajukuu walio pendwa na Muhammad. Mjukuu wa Abu Sufyan aitwaye Yazid, akawa Caliph na akawa mkuu wa mjukuu wa Muhammad, Hussein.
Huu ndi Uislam na jinsi unavyo lazimisha watu wajiunge nao, tofauti na Ukristo ambao wao hawalazimishi, bali wafundisha kuhusu Yesu. Katika Ukristo hakuna kulazimishana kama kwenye Uislam wa Muhammad.
1. Je, Mungu gani huyu anaye tumia Mapanga kulazimisha watu kujiunga nae?
2. Je, Mungu gani huyo anaye uwa watu na kudai kuwa hiyo ndia njia ya kwenda Akhera?
3. Kwanini katika Biblia hakuna kulazimishana?
4. Kwanini hakuna Mitume katika Ukristo ambao wanatumia Mapanga na Visu kulazimisha watu wajiunge na Ukristo kama ilivyo kwenye Uislam?
5. Kwanini kwenye Ukristo Mungu wake hana chuki kubwa kama Allah wa Uislam?
Leo tumejifunza kuwa katika Uislam kuna kulazimishana tofauti na ilivyo kwenye Ukristo. Zaidi ya hapo, Allah sio Jehova Mungu wa kwenye Biblia, maada matendo yao hayafanani kabisa. Hivyo, si kosa kusema kuwa Adam, Ibrahim, Daudi, Yesu na Mitume wote wa kwenye Biblia hawakuwa Waislam na wala hawakumuabudu Allah.
Mungu awabariki sana.
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo.
For Max Shimba Ministries Org.
Such are the perils of forcing others to say that you are a prophet when they do not believe it to be true.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW