Friday, March 23, 2018

ETI, UKIJAAMIANA HUKU UNAELEKEA KIBLA NI LAANA

Related image
Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) amekataza watu kujamiiana wakati wakiwa wameelekea Qiblah, au mtu mgongo wake kuelekea Qiblah, na amesema kwamba endapo kitendo kama hicho kikifanyika, kinaleta matokeo ya laana ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, na Malaika na wanadamu wote kuwa juu yako mwenye kufanya hivyo.

Ibid., Juz. 20, Uk. 138, namba 25240

No comments:

THE LIE OF THE ISLAMIC RELIGION

  THE LIE OF THE ISLAMIC RELIGION We believe that when you carefully follow this topic, you will obey the word of the true God, live it, and...

TRENDING NOW