Friday, March 23, 2018

NABII WA ALLAH AMERUHUSU MAPENZI YA MDOMO

Image result for mapenzi ya mdomo
Niyazha wa Rawabith Jinsii wa Zanashuii, Uk. 55: Imam al-Kadhim (a.s.) aliulizwa: “Kuna tatizo kama mtu atabusu sehemu za siri za mke wake?” Imam alijibu akasema: “Hakuna tatizo.”https://www.al-islam.org/node/25382#f_31b2e0bf_19

DOKEZO: Nabii wa Allah alisikika akisema katika suala la watu waliooana kupiga punyeto hakuna tatizo kama mke anasisimua tupu ya mume wake mpaka kutokwa na manii, au mume anasisimua tupu ya mke wake hadi anafikia kilele cha raha ya kujamiiana. Hili linaruhusiwa kwa sababu haliingii kwenye (kujisisimua mwenyewe;) ni kujisisimua kwa njia ya mwenza halali

Mnashangaa Wazungu, kumbe huu mcheza kaanzisha marehemu Muhammad.

No comments:

The Qur'anic Cosmology of Stars as Weapons Against Demons

Title: The Qur'anic Cosmology of Stars as Weapons Against Demons: A Theological and Scientific Critique By Dr. Maxwell Shimba | Shimb...

TRENDING NOW