Friday, March 30, 2018

MUHAMMAD ALIKUFA KIFO CHA AIBU CHA KUNYESHWA SUMU NA AISHA

Related image
Kifo cha Mtume kinatatanisha, je, amekufa kifo cha kawaida au ameuliwa kwa sumu?

Anasema Mwana Aisha kuwa: “Tulimnywesha dawa Mtume wakati wa maradhi yake, na Mtume akiwazuia: “Msininyweshe”. Baada ya kunywa dawa Muhammad akakata roho.
Taz: Tarekhut Tabari J. 3 uk. 62
Fat-hul Baary J.10 uk. 175

Waandishi wa kiislamu wanasema kuwa: “Waliohusika kumnywesha dawa hiyo kwa nguvu ni Aisha na Hafsa (wakeze Mtume) na kwamba dawa hiyo ni sumu!!
Taz: Assiiratun Nabawiyya, ya Najahu Attaai J. 2 uk. 379
Alburhan fyilafsiril Quran J. 2 uk. 117
Tafsirul ‘Ayyaashy J. 1 uk. 224
Tafsirus Saafy J. 1 uk. 389-390

Kwanini Aisha alimshwesha sumu Nabii wa Allah?

BAADA KIFO CHA MUHAMMAD:

KWANINI AISHA ALIGOMA KUHUDHURIA MAZISHI YA MUMEWE?

Abubakar na Umar hawakuhudhuria osho wala maziko ya Mtume, walikuwa kwenye ukumbi wa Bani Saaidah wakichaguana!!

Taz: Kanzul Ummal, kitabul khilafa maal-imaara khilafatu Abibakar

Almuswannaf, ya Ibn Shayba, babul Maghaz khilafatu Abibakar
Kama ambavyo, Mwana Aisha (mkewe Mtume) hakuhudhuria osho wala maziko ya Mtume, alipotea nyumbani kwa Mtume siku mbili, mwenyewe Mwana Aisha anasimulia hapa: “Wallahi hatukuelewa maziko ya Mtume mpaka tuliposikia kelele za majembe usiku wa Jumanne (wakati wakichimba kaburi):
Taz: Al-muntadham J. 2 uk. 482
Asiiratun Nabawiyya, ya Najah Attaai J. 2 uk. 314
Assunanul Kubra J. 3 uk. 574Tarekhut Tabari J. 3 uk. 81

Leo tumejifunza jinsi Muhammad alivyo kufa kwa kupewa sumu na mkewe Mwana Aisha.

Shalom

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW