Saturday, July 21, 2018

AISHA AMETHIBISHA KUWA AYA ZA QURAN ZILILIWA NA MNYAMA.

No automatic alt text available.

AISHA AMETHIBISHA KUWA AYA ZA QURAN ZILILIWA NA MNYAMA.

JE, UNAJUA JINA LA HUYO MNYAMA.

KUMBE QURAN HAIJAKAMILIKA 

AYA 127 ZILILIWA NA MNYAMA.

Mwana Aisha anasema:

Katika uhai wa Mtume S.A.W Suratul Abzahab ilikuwa ikisomwa ikiwa na aya mia mbili, lakini Uthman alipo andika misahafu, suratul ikawa hivi ilivyo sasa (yenye Aya sabini na tatu tu)" Je, Aya mia moja ishirini na saba ziko wapi? Zimepotea.
Taz: Ruuhul Maany J 21 U. 216-217
Fat'hul bayan fyi maqasidil Quran J 11, UK. 40
Fathul qadiir J 4 UK 369
Addurrul Manthur J 5. UK 346
Tafsirul Qurtubi J 14 UK 113

Kwa hakika ilishuka aya Rajmi na aya Radhaatul (mara) KUMI na ukurasa wa aya hizo ulikuwa chini ya kitanda changu, mara alipo fariki Mtume s.a.w tukashughulika na kifo chake, akaingia ndani mnyama wa kufugwa na akaula ukurasa huo.

Taz: Sunan Ibn Majah J2 UK 460

TUNAPOSEMA KUWA QURAN HAIJAKAMILKA NA IMEJAA SHAKA HUWA HATUBAHATISHI.

KWANINI QURASA YA QURAN ILIKUWA INAKAA CHINI YA KITANDA CHA AISHA TENA WAKATI ANA HEDHI?

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW