Tuesday, July 3, 2018

SHEREHE YA KULA NYAMA YA MBWA YAFANASherehe ya kula nyama ya mbwa iliogubikwa na utata katika mji wa Madina imeanza licha ya ripoti za awali kwamba ilikuwa imepigwa marufuku mwaka huu.
Mapema mwaka huu ,wanaharakati walidai kwamba wafanyibiashara waliagizwa na mamlaka kutouza nyama ya mbwa.


  Lakini wamiliki wa vibanda vinavyouza nyama hiyo waliambia BBC hawajasikia lolote kuhusu hatua hiyo kutoka kwa maafisa.

  Katika sherehe za miaka ya nyuma kumekuwa na mzozo kati ya wauzaji nyama ya mbwa na wanaharakati waliojaribu kuwaokoa mbwa waliopangiwa kuchinjwa.

  No comments:

  WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

  SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

  TRENDING NOW