Saturday, July 23, 2016

JE, UNAFAHAMU KWANINI ALLAH ALILIUMBA PEPO LA ALHAMIS?


Ndugu msomaji, leo tutajifunza kuhusu hili Pepo la Alhamisi ambalo wengi wenu hamlifahamu?
Je, unafahamu kwanini Allah aliliumba hili Pepo la Alhamisi?
Je, unafahamu kazi ya hili Pepo la Alhamisi?
Ungana na Sheikh Mstaafu Eden Hazard kwa soma hili la kusisimua ambalo tutajifunza mapepo ya kila siku ya Juma na kazi zao.

★★★★★★★★★★★★
JINA LA PEPO LA ALHAMISI NI LIPI? JE, UNAFAHAMU KAZI YAKE KUU NI IPI?
👉Hili Pepo la Alhamis linaitwa AKELI ambalo kazi yake ni kuzuia biashara za Wakristo kutofanikiwaa na ni pepo ambalo linawapa mafanikio ya kibiashara wale ambao wanaenda kwa mganga kuomba mafanikio ya kibiashara yaani Waislamu.
★★Sasa wewe kama Mkristo lazima utambue adui yakoo ni nani? na ana nguvu gani? na ujipange kupigana naye ili asikupindue kwenye kiti chako maana unapozubaa utapigwa na kuteseka maana adui atakaa juu yako nawewe utakuwa chini kwahiyo jipangee kumpiga adui yako anayekurudisha nyuma kimaendeleo na kibiashara...
★★Je, Unawezaje kupigana na hizi nguvu za Giza.
👉�(i)Hakikisha umesima na Yesu vizuri, Mtume Paulo anafundisha: ‘Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili,juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.’ (Waefeso 6:10-12).
★★Tunapata maelezo kuhusu mavazi hayo ya kiroho kwenye . Paulo aliandika: “Simameni imara, viuno vyenu vikiwa vimefungwa kwa ile kweli, na mkiwa mmevaa bamba la kifuani la uadilifu, na mkiwa mmevaa miguuni mwenu viatu vya habari njema ya amani.
★★Zaidi ya mambo yote, ichukueni ngao kubwa ya imani, ambayo kwa kuitumia mtaweza kuizima mishale yote inayowaka moto ya yule mwovu. Pia, ipokeeni kofia ya chuma ya wokovu, na upanga wa roho, yaani, neno la Mungu.
★★Kwahyo lazima ujipange kupigina na adui yako, maana hawa mapepo wanatesa sana watu.
★Sasa tumechoka lazima tuyalipue.haya mapepo na kazi zao ,unakuta biashara zako aziendi na kilaa unachokifanya hakifanikiwi unajiulizaa ni kwanini inakuwaa hivi kumbe mapepo yamefunga biashara yakoo!!
★Chakufanya: Jiweke ndani ya Yesu na uvae silaha zote za Mungu..
★nitafundishaaa zaidi nikipata nafasi...
haya mapepo ya kila siku na kazi zao na mengine zaidi ...
itaendelea.......
★★by Sheikh Mstaafu Eden Hazard
For Max Shimba Ministries Org.

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW