Friday, July 8, 2016

UKRISTO UNAKATAZA USHOGA LAKINI UISLAM MHHHH



Biblia inasisitiza kila mara kwamba Ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; Mambo ya Walawi 18: 22; Warumi 1:26-27; Wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.
Hebu sasa tulinganishe na kwenye Uislam, Je Quran inaruhusu USHOGA?
BALAA: KUMBE WANAUME WA KIISLAM WAMERUHUSIWA KUINGILIANA KIMWILI
Surah An Nisaai 21. Na mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?
Allah amewaruhusu Waislam waingliane wenyewe kwa wenyewe. Huu ni Msiba mkubwa sana.
Mungu haumbi Mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (Warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.
SASA TUMSOME MUHAMMAD, JE NA YEYE ALIKUWA NA HII TAMAA MBAYA?
Hadith Idadi 16,245: "maneno ya Washami," Hadith ya Mu'awiya Ibn Abu Sufyan": "Nilimwona Nabii wa Allah(saw) - akimnyonya ulimi na kulamba mdomo wa Al-Hassan Mwana wa Ali, Mwenyezi Mungu amrehemu, maana hakuna mtu atakaye teswa kwa Moto wa Jehannam baada ya kunyonywa ulimi na kulambwa midomo na Nabii wa Allah.
Mnaona tabia chafu ya Nabii wa Allah? Eti akikunyonya na kukulamba midomo basi wewe huto kwenda Jehannam. Hivi lini hawa ndugu zetu watafunguka macho?
Pia alisema, "Siku baadaye tuliomba muuguzi kwa ajili yake (Ali) lakini alikataa, basi tukamwita Nabii Muhammad - SAW -.ambaye alimnyonya ulimi "Ali" kwa kinywa chake mpaka akalala. Hivi ndivyo Allah alivyo taka Ali afanyiwe na Nabii wake
Astaghafurillah, huyo ndio Muhammad nabii wa Allah na ndio mwenye dini ya Uislam. Umeisoma mwenye tabia yako, lakini Waislam hawasei kitu hapo.
Nakushauri ndugu ambaye hujaokoka uachane na huyo Muhamamd aiye nyinya mdomo wa Ali na umpokee Yesu amabye ni Mungu Mkuu.
Yesu anakupenda sana.
Katika huduma yake,
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa Yesu.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW