Friday, July 29, 2016

KUTOKANA NA QURAN, ALLAH NI SHETAN ANAYEJIFANYA MUNGU WA WAISLAM

Ndugu msomaji,
◆ Kusema kweli hiki ni kipimo kizuri cha kuonyesha iwapo jambo limetoka kwa Mungu wa kweli au la; maana Mungu wa kweli, kwa kuwa ni mkamilifu kwa asilimia mia moja, hawezi kusema hivi hapa, kisha aseme vingine kule – maana yeye hasahau kama mwanadamu. Hawezi kusema, “Nilikuwa na mambo mengi au mawazo mengi ndio maana nikasahau.”
ALLAH KAUMBA PEPO YENYE MITO YA POMBE NA ULEVI
◆Hoja yangu ni kwamba Allah si Mungu wa kweli bali ni Shetani kwamujibu wa Quran Surat Muhamad aya ya 15. inasema hivi “mfano wa pepo aliyowaandalia waja wake Mwenyezi Mungu iko hivi, ndani yake kuna mito ya maziwa na mito ya ulevi wenye ladha kwa wanywaji.
◆Humo watapata kuburudishwa kwa matunda ya kila namna na samahani kutoka kwa mola wao.”
MWENYEZI MUNGU ANASEMA, ULEVI NI KAZI YA SHETANI
Lakini ukisoma Qurani hiyo hiyo sura ya 5 aya ya 90, inasema hivi: “Enyi mlioamini bila shaka ulevi na kamari na kuombwa yeyote asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni uchafu na ni kazi ya Shetani.
MADA -ARGUMENT
◆”Sasa rafiki yangu kwa mujbu wa aya hizi aya ya kwanza imesema:
Allah katika pepo yake kuna mito ya ulevi, LAKINI Quran hiyo hiyo imesema ulevi ni kazi ya shetani, kama aya zenyewe ndizo hizi hoja yangu inakuja hapa:
HOJA:
Yeye Allah kama siye Shetani amepata wapi ulevi hali yakuwa ulevi ni wa shetani?
Lakini Biblia imesemaje kuhusu ulevi: Walevi na Wachawi na Wazinzi hawataurithi Ufalme wa Mbinguni. Mungu anasema katika Isaya Ole wao waamkao asubuhi na kufuata ulevi.
◆Hii SIFA YA ALLAH KUTENGENEZA MITO YA POMBE ni moja ya sifa ya Shetani wala si ya Mungu.
◆Lakini kwa ule upande ambao mimi naufahamu zaidi, yaani Ukristo, Bwana Yesu anasema:
◆Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila
kwa njia ya mimi. (Yohana 14:6). Yaani, hakuna namna ya
kwenda mbinguni isipokuwa kwa kumwamini Yesu Kristo
kama Bwana na Mwokozi. Hiyo ndiyo namna pekee ya kufika
mbinguni.
Tafakari!
Chukua Hatua
Na Shkhê Êdén Hãzãrd
For Max Shimba Ministries Org.

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW