Friday, July 8, 2016

ALLAH NA MUHAMMAD WARUHUSU NDOA YA MUT’AH. HII NI NDOA YA MASAA, UNAOA MKE KWA MASAA KWA AJILI YA NGONO HALAFU UNAMPA TALAKA


Je, umalaya umeruhusiwa katika Uislam?
Somo la leo ni la Umalaya kama lilivyo pewa kipaumbele na mungu wa Uislam ajulikanaye kwa jina la Allah. Uislam unaruhusu Umalaya kwa kutumia sheria ya Mut'ah.
Mut'ah ni ndoa AMBAYO inaweza kudumu kwa muda mfupi sana. Ndoa Hii haihitaji mashahidi, na haina kipindi cha 'iddah. Fidia ya kima cha chini ambayo inaweza kulipwa kwa mwanamke kwa ajili ya mahusiano ya kingono ni dirham moja (yaani, chini ya dola senti 25) ". 29 (Dr Ahmad 'Abdullah Salamah, Mashia Dhana ya Ndoa Muda (Mut'ah)
Katika Mut'ah, HAKUNA TALAKA ; Pale utakapo mlipa huyo hawara kiasi cha fedha na utakapo maliza shida zako za kingono, unakuwa huru na hakuna wajibu, hakuna sheria ya urithi, au mchakato wa talaka. Sheria inayo bakia ni moja tu ambayo inambana mwanamke kwa siku 45 kabla ya kuingia kwenye ndoa nyingine ya Mut’ah, wakati huohuo Mwanaume yeye anaweza kuingia Ndoa nyingine ya Mutah mara moja, hata ikiwa bado ameoa katika Mut'a nyingine. Cha kushangaza, Waislam wanashabikia hii Ndoa ya kimalaya huku Allah akiwaambia kuwa, kabla ya kuingia Ndoa nyingine ya Mut’ah lazima watoe talaka, wao wamejipa haki ya kuendelea kutekeleza matakwa yao ya kingono. Katika Surah 2 aya 228 Allah anasema, Wanawake wangoje peke yao kwa vipindi vitatu kila mwezi na si halali kwao kuficha kile ambacho Allah aliviumba katika matumbo yao . Katika Mut'a, mwanamke anaweza kuwa mjamzito na mtoto wa mume wake wa kwanza wa Mut'a na kuolewa na mume wake wa pili wa Mut'a au kuingia ndoa ya kudumu.
Ndugu wasomaji, leo tumejifunza kuhusu umalaya ndani ya dini ya Kiislam. Uislam umeruhusu Ndoa hii ili kukidhi matakwa ya Wanaume wa Kiislam na kuendelea kuwashusha hadhi Wanawake wa kiislam ambao katika Uislam wao ni nusu ya Mtu.
Quran 4:11. Mwenyezi Mungu anakuusieni juu ya watoto wenu: Fungu la mwanamume ni kama fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wanawake zaidi ya wawili, basi watapata thuluthi mbili za alicho kiacha maiti. Lakini akiwa mtoto mwanamke ni mmoja, basi fungu lake ni nusu. Na wazazi wake wawili, kila mmoja wao apate sudusi ya alicho kiacha, ikiwa anaye mtoto. Akiwa hana mtoto, na wazazi wake wawili wamekuwa ndio warithi wake, basi mama yake atapata thuluthi moja. Na akiwa anao ndugu, basi mama yake atapata sudusi. Haya ni baada ya kutolewa alicho usia au kulipa deni. Baba zenu na watoto wenu, nyinyi hamjui ni nani baina yao aliye karibia zaidi kwenu kwa manufaa. Hiyo ni Sharia iliyo toka kwa Mwenyezi Mungu. Bila ya shaka Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima.
Katika Uislam, Mwanamke hana thamani yeyote ile, ndio maana Allah alitoa ahadi ya Wake 72 kwa Wanaume wa Kiislam na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam.
Quran 2:228. Na wanaume wana daraja zaidi kuliko wao. Na Allah ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima
Allah anaendelea kusema kuwa Mwanaume wa Kiislam ni wathamani zaidi ya Mwanamke wa Kiislam. Hapo ndipo tunaelewa kuwa, hata hii Sheria ya ndoa ya MUT’AH iliwekwa ili kuwakidhi Wanaume ambao wapo juu ya Wanawake.
Ndugu wasomaji.
Mungu wa Biblia anakataza umalaya wa aina yeyote ile.
Katika Injili kutokana na Mathayo Sura ya 5 aya ya 28 inasema kuwa: lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
Neno la Mungu linatuonya kwamba, hata kumwangalia Mwanamke kwa matamanio ni kutenda dhambi, lakini katika Uislam, unayo ruhusa ya kumtamani Mwanamke na kuingia kwenye ndoa ya Mut’ah ili kukidhi shida zako za kimwili. Hii ni tofauti ya Yehovah wa Biblia na Allah wa Koran ambaye anaruhusu umalaya kupitia Mut’ah wakati Yehovah anasema kufanya hivyo ni kutenda dhambi.
Mungu atusaidia ili tuifahamu kweli iliyo katika Kristo Yesu.
Katika Huduma yake
Max Shimba
Copyright © Max Shimba Ministries 2013

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW