Tuesday, March 6, 2018

ALLAH KATEREMSHA AYA NA KURUHUSU UGAIDI

Image may contain: 4 people
ALLAH KATEREMSHA AYA NA KURUHUSU UGAIDI
Allah anaanza kwa kusema:
“…HUU NI UKWELI ULIOTOKA KWA MOLA WENU, BASI NA ANAYETAKA NA AAMINI NA ANAYETAKA NA AKUFURU…” [18:29]
Je, ukweli wenyewe ni upi? Usome hapa chini:
“NA WAUWENI PO POTE MUWAKUTAPO, NA MUWATOE PO POTE WALIPOKUTOENI KWANI KUWAHARIBU WATU NA DINI YAO NI KUBAYA ZAIDI KULIKO KUUA. WALA MSIPIGANE NAO KARIBU NA MSIKITI MTAKATIFU MPAKA WAKUPIGENI HUKO. WAKIKUPEGENI BASI NANYI PIA WAPIGENI. NAMNA HIVI NDIVYO YALIVYO MALIPO YA MAKAFIRI”. [2:191]
“NA PIGANENI KATIKA NJIA YA ALLAH NA WALE WANAOKUPIGENI, WALA MSIPINDUKE MIPAKA KWANI ALLAH HAWAPENDI WARUKAO MIPAKA”. [2:190]
Waumini wenye nguvu wapigane na kuwauwa makafiri wote:
“NA MNA NINI HAMPIGANI KATIKA NJIA YA ALLAH NA WALE WALIO DHAIFU KATIKA WANAUME NA WANAWAKE NA WATOTO AMBAO HUSEMA: MOLA WETU! TUTOE KATIKA MJI HUU AMBAO WATU WAKE NI MADHALIMU, NA TUJAALIE TUWE NA MLINZI ANAYETOKA KWAKO, NA TUJAALIE TUWE NA WA KUTUNUSURU ANAYETOKA KWAKO”. [4:75]
Waumini wapigane katika njia ya Allah na kuwamaliza makafiri:
“WALE WALIOAMINI WANAPIGANA KATIKA NJIA YA ALLAH, LAKINI WALIOKUFURU WANAPIGANA KATIKA NJIA YA SHETANI. HAKIKA HILA ZA SHETANI NI DHAIFU”. [4:76]
ETI HII NI DINI YA HAKI NA AMANI. THUBUTU.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW