Tuesday, October 18, 2016

MWALIMU WA QURAN WA DINI YA KIISLAM AHMAD AMAN SURYADI AMESHITAKIWA KWA KOSA LA KUBAKA WAVULANA SHULE YA BOARDING


Polisi wamemkamata Kiongozi wa dini ya Kiislam, Mwalimu wa Quran Ahmad Aman Suryadi mwenye umri wa miaka 29 kwa kosa la kubaka wavulana kadhaa katika Shule ya boarding Yayasan Titipan Ilahi Muslim iliyopo Koja, Magharibi mwa Jakarta.
Alipo kuwa akihojiwa, na Polisi kiongozi huyo wa dini ya Kiislam na Mwalimu wa Quran, alikiri kuwabaka Wavulana zaidi ya kumi (10). Kiongozi huyo alisema kwamba, yeye hana Mke na hivyo alishindwa kujizuia na ndio maana akabaka hao wavulana 10.
Polisi mpaka sasa wamefanikiwa kuwapata Wavulana sita ambao wamebakwa na huyo kiongozi wa dini ya Kiislam. Hayo yalisemwa na Mkuu wa kituo cha Polisi cha Koja Komanda Supriyanto.

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW