MUHAMMAD ANASEMA KUWA ALLAH SIO BABA
Surat Al Maida 18. Na Mayahudi na Wakristo wanasema: Sisi ni wana wa Mwenyezi Mungu na vipenzi vyake. Sema: Basi kwa nini anakuadhibuni kwa ajili ya dhambi zenu? Bali nyinyi ni watu tu kama wale wengine alio waumba. Humsamehe amtakaye na humuadhibu amtakaye. Na ni wa Mwenyezi Mungu tu ufalme wa mbingu na ardhi. Na marejeo ni kwake Yeye.
Kama aya inavyo sema hapo juu, Muhamma na Allah wanakana kuwa Wakristo na Wayahudi sio watoto wa Mungu, eti kwasababu ya Allah kuto kuwa na mwana bila ya Mke. Hii aya inapingana na Biblia ambayo inasema kuwa sisi ni watoto wa Mungu.
LAKINI KATIKA BIBLIA TUNASOMA KUWA MWENYEZI MUNGU NI BABA YETU:
Kumbukumbu la Torati 32: 6........Je! Yeye siye Baba yako aliyekununua? Amekufanya, na kukuweka imara.
Zaburi 2: 7 Nitaihubiri amri; Bwana aliniambia, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa.
Isaya 63: 16 Maana wewe ndiwe Baba yetu, ijapokuwa Ibrahimu hatujui, wala Israeli hatukiri; wewe, Bwana, ndiwe Baba yetu, mkombozi wetu tangu milele ndilo jina lako.
Mathayo 6: 9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje,
Yohana 20: 17 Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
UISLAM HAUNA BABA KAMA ALIVYO KIRI ALLAH KWENYE QURAN YAKE. Ngoja nitumbue jipu, Allah ambaye ni "miungu" wa Waislam SIO YEHOVA ambaye ni Mungu wa Wakristo. Allah yeye ni dhaifu, duni, na yupo chini ya YEHOVAH ambaye ni Mungu Mkuu.
SABABU inayo mfanya Allah kushindwa kuwapenda binadamu ni jibu tosha kuwa Allah hakuumba binadamu na ndio maana amejaa chuki kubwa kubwa kwa bianadamu.
Surat Azzumar 10. Sema: Enyi waja wangu mlio amini! Mcheni Mola wenu Mlezi. Wale wafanyao wema katika dunia hii watapata wema. Na ardhi ya Mwenyezi Mungu ni kunjufu. Hakika wenye subira watapewa ujira wao bila ya hisabu.
Surat Azzumar 36. Je! Mwenyezi Mungu si wa kumtosheleza mja wake? Na ati wanakutishia kwa hao wenginewe wasio kuwa Yeye! Na aliye hukumiwa na Mwenyezi Mungu kupotea hana wa kumwongoa.
Aya hapo juu zinakiri kuwa Allah yeye anawatumwa na ni tofauti na Yehovah wa kwenye Biblia ambaye yeye anatuita sisi ni watoto wake.
Mungu awabariki sana,
Ni mimi Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo
Max Shimba Ministries Org.
No comments:
Post a Comment