Sunday, February 21, 2016

MUHAMMAD AKIRI KUCHEZEWA NA SHETANI

1. Mtume Muhammad asema, Yesu hakuwai chezewa na Shetani.
2. Muhammad akiri kuwa, Waislam wote wanachezewa na kupulizwa matakoni na Shetani.
3. Muhammad akiri kuwa Uislam ni Bandia.
Hebu tuanze kwa ushahidi kuhusu Yesu ambaye hakuchezewa na Shetani.
MUHAMMAD AKIRI KUWA YESU HAKUCHEZEWA NA SHETANI
Hadith ya Bhukari Mwaminifu 4:506 kama ilivyo letwa kwenu na Abu Huraira:
Mtume Muhammad alisema, Binadamu yeyote yule anapo zaliwa, Shetani humgusa sehemu zote mbili za mwili wake kwa vidole viwili, ISIPO KUWA Yesu Mwana wa Mariamu ambaye Shetani alishindwa kumgusa na wala kumsogolea.
HADITHI nyinge ya Mkweli Mwaminifu Bhukar 4: 642, kama ilivyo letwa kwenu na Said bin Al-Musaiyab:
MUHAMMAD AKIRI KUCHEZEWA NA SHETANI
Abu Huraira alisema, "nilimsikia Nabii wa Allah akisema, Hakuna kiumbe ambaye hakuguswa na Shetani, ndio maana mtoto hulia kwa sauti kubwa wakati wa kuzaliwa kwasababu Shetani anakuwa amemgusa, ISIPOKUWA Mariyam na Mwanae Yesu, wao hawakuguswa na Shetani. Kisha Abu Huraira akasema : " Na najikinga na Wewe kwa ajili yake na kwa ajili ya watoto wake kutoka kiwa Shetani" ( 3.36 )
Ndugu zanguni, Muhammad leo amekiri kuwa, YESU hakuwai kuguswa na Shetani lakini yeye na Waislam wote wameguswa na kuchezewa na Shetani.
SHETANI ANAWAPULIZA WAISLAM MSIKITINI
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Muhammad anasema: Shetani anaingia msikitni na kuwachezea Waislam kama ushahidi unavyo sema hapo juu.
Kwanini mfuate dini ambayo inaongozwa na MASHETANI Msikitini?
Kwanini Shetani ana mamlaka ya kuwapuliza Waislam matako yao tena wakiwa Msikitini?
Karibuni kwa Yesu ambaye hakuwai guswa na Shetani kama alivyo kiri Muhammad.
Mungu awabariki sana,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries Org,

KWANINI ALLAH NA MUHAMMAD WANALAZIMISHA WATU WAJIUNGE NA UISLAM?

KUMBE UISLAM SIO DINI YA AMANI
Uislam unafundisha nini kuhusu kulazimishana katika dini?
Ndugu msomaji,
Waislam wameembiwa wapigane na Makafiri au wawauwe au wakubali kujiunga na dini ya Muhammad. Uislam hauruhusu waumini wa imani zingine au dini zingine waabudu kwa uhuru. Ndio maana kwenye nchi za Kirabu kama Uarabuni kwenye Makkah, huko hakuna kanisa hata moja. Allah hapendi uhuru wa kuabudu.
Surat Tawba 29. Piganeni na wasio muamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya Mwisho, wala hawaharimishi alivyo harimisha Mwenyezi Mungu na Mtume, wala hawashiki Dini ya Haki, miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii
Surat Al Anfaal 38. Waambie wale walio kufuru: Wakikoma watasamehewa yaliyo kwisha pita. Na wakiyarudia basi imekwisha pita mifano ya wa zamani.
39. Na piganeni nao mpaka isiwepo fitna na mateso, na Dini yote iwe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. Lakini wakiacha, basi hakika Mwenyezi Mungu anayaona wanayo yatenda.
Surat Tawba 5. Na ikisha miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni na wazungukeni, na wavizieni katika kila njia. Lakini wakitubu, wakashika Sala, na wakatoa Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
Surat Al Baqaara 193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu tu. Na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu
Surat Al Imran 84. Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haak na Yaakub na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
Juhudi za Muhammad za kuutanganza Uislam bila ya chuki ziligonga mwamba. Kwa miaka 13 Muhamamd alikuwa na watu 100 tu ambao wengi wao walikuwa ni ndugu zake na jamaa zake. Baada ya kushindwa vibaya sana kuutangaza Uislam kwa kutumia amani, Muhammad akabadilisha mbinu ya kuutangaza Uislam na kuteremsha hizi aya hapo juu za kulazimisha watu wajiunge na dini yake, au lasivyo watakiona cha mtema kuni, kama sio kuuliwa kabisa. Aliwaambia wafuasi wake kuwa Allah amemuamrisha kuwalazima watu wajiunge katika dini yake ya Uislam.
Katika miaka yake ya mwishoni. kabla ya kifo chake, Muhammad hakujali tena kwamba watu wanajiunga au, la, bali alikuwa analazimisha kila mtu ajiunge na Uislam kwa kutishia kifo. Hii ni pamoja na adui yake mkubwa Abu Sufyan na mke wake Hind. Kutokana na wana historia wa Kiislam, Abu Sufyan alikwenda kwa Muhammad kutaka wawe na amani baada ya chuki kubwa ya Muhammad, lakini Muhammad alimlazimisha kujiunga na Uislam, la sivyo alimwambia atamuua. Maneno halisi ambayo Muhammad alimwambia ni haya "Nyenyekea na shahadia kuwa hakuna Mungu ila Allah na Muhammad ni Mtume wake au ukikataa utakatwa kichwa chako" Soma Ushahdi katika Ibn Ishaq/Hisham 814. Hivyo basi Abu Sufyan akakubali.
Mji mzima wa Mekkah ulisaliti amri, pale Muhammad alipo uvamia akiwa na kundi lake. Wengi walikataa lakini walilazimishwa kuingia Uislam na walio kataa walikatwa kichwa na Muhammad mwenyewe.
Wengine walifukuzwa kutoka Mekka baada ya hija ya mwisho Soma Quran 9:5. Wakristo na Wayahudi walio kuwa Urabuni wakati huo, nao walipatwa na hii shida/balaa ya Muhammad kulazimisha kujiunga na Uislam au unauwawa. Wengi walipewa chaguo moja wajiunge na Uislam au wafukuzwe kutoka kwenye ardhi zao. SOMA Sahihi Muslim 19:4366.
Kabla hajafa, Muhammad alituma majeshi yake kwenda kuwalazima Wapagani wa Kiarabu kujiunga nae, kabila la al Harith. Aliwaambia wamepewa chaguo moja tu kujiunga nae au atawauwa wote kwa upanga. Lakini hilo kabila la kipagani liliogopa na kiunga nae. Baadae Muhammad akawalaani Wakristo wote na Wayahudi. SOMA Sahihi Bukhari 8:427.
Kutoka na al Shafi : "The Ordinances of the Quran", Muhammad alilazimisha watu wajiunge nae au aliwauwa watu walio mkataa. Soma Bukhari 53:386.
Vinyo hivyo, Abu Kabkr, aliye chukua baada ya Muhammad, alifanya Jihad mbaya zaidi katika nchi za jirani kwa watu walio ukataa Uislam. Katika Barua iliyo tumwa kwa Persians, Abu Bakr alisema kuwa "Silimuni na muwe waislam hapo mtakuwa huru na kama mkikataa basi eleweni kuwa nimekuja kwenu na Jeshi la Kiislam ambalo linapenda kuuwa watu, kama jinsi ninyi mnavyo penda maisha/uhai"
Hizi sifa za Muhammad sasa zinaonekana kwa akina Boko Haram, Al Qaeda, Al Shabab. Ushahid wa huu utamaduni vile vile upo kwa ISIS ambao wameuwa mamilioni ya watu huko Syria. Hata kule Afrika katika nchi ya Naijeria, Boko Haram wamekuwa mstari wa mbele kutekeleza amri hii ya Muhammad ya kuuwa Wakristo. Waislam wao wanaamini kuwa kufanya hivi ni kutekeleza matakwa ya Allah na watapewa Akhera kwa kulazimisha watu wajiunge na Uislam. Bukharu 52: 254.
Muhammad vile vile alilazimisha Wayahudi walipe JIZYA. Eti, kwasababu wamekataa kujiunga na dini yake. Hii ilikuwa ni mbinu ya kuwaumiza na kuwatesa Wayahudi, ili wajiunge na Uislam dini ya Muhammad. Bukhari na Ahmed (5114 au 4869, inategemea na tafsir)
Kitu kimoja inakubidi uelewe ni kuwa, katika Uislam, matendo ni zaidi ya kuamini katika Allah. Hata hivi leo, ukienda kwenye nchi zenye Waislam wengi, huwa hawapendi uwepo wa imani au dini nyingine. Mfano Saudi Arabia, kule Zanzibar, Somalia, nk.
Mwishoe, mtoto wa Abu Sufyani, Muawiyah, alifanikiwa kuuteka na kumshinda mtoto wa kufikia wa Muhammad, Ali. Vilevile alimlisha sumu Hassan, mmoja wa wajukuu walio pendwa na Muhammad. Mjukuu wa Abu Sufyan aitwaye Yazid, akawa Caliph na akawa mkuu wa mjukuu wa Muhammad, Hussein.
Huu ndi Uislam na jinsi unavyo lazimisha watu wajiunge nao, tofauti na Ukristo ambao wao hawalazimishi, bali wafundisha kuhusu Yesu. Katika Ukristo hakuna kulazimishana kama kwenye Uislam wa Muhammad.
1. Je, Mungu gani huyu anaye tumia Mapanga kulazimisha watu kujiunga nae?
2. Je, Mungu gani huyo anaye uwa watu na kudai kuwa hiyo ndia njia ya kwenda Akhera?
3. Kwanini katika Biblia hakuna kulazimishana?
4. Kwanini hakuna Mitume katika Ukristo ambao wanatumia Mapanga na Visu kulazimisha watu wajiunge na Ukristo kama ilivyo kwenye Uislam?
5. Kwanini kwenye Ukristo Mungu wake hana chuki kubwa kama Allah wa Uislam?
Leo tumejifunza kuwa katika Uislam kuna kulazimishana tofauti na ilivyo kwenye Ukristo. Zaidi ya hapo, Allah sio Jehova Mungu wa kwenye Biblia, maada matendo yao hayafanani kabisa. Hivyo, si kosa kusema kuwa Adam, Ibrahim, Daudi, Yesu na Mitume wote wa kwenye Biblia hawakuwa Waislam na wala hawakumuabudu Allah.
Mungu awabariki sana.
Max Shimba
For Max Shimba Ministries Org.
Such are the perils of forcing others to say that you are a prophet when they do not believe it to be true.

ALLAH, MUHAMMAD, NA QURAN NI WAPINGA KRISTO (SEHEMU YA PILI)


1. KUMBE UISLAM NI 666
2. KUMBE UISLAM NI MPINGA KRISTO
Ndugu msomaji,
Kristo, Mwana wa Mungu, alipokuwa duniani, alikuwa na maadui wengi. Ijapokuwa sasa hawezi kufikiwa na wanadamu, bado ana wapinzani leo. Ebu angalia baadhi ya wapinzani hao.
MAANA YA MPINGA KRISTO:
Neno la asili la Kiyunani la "anaye mpinga Kristo" laweza kuwa na maana mbili. Laweza kumaanisha 'aliye kinyume na Kristo', kwa maana ya mtu au mamlaka ipingayo kazi ya Kristo. Au kwa matumizi mengine, neno hilo laweza kumaanisha 'badala ya Kristo', likimaanisha mtu au mamlaka ichukuayo 'mahali pa Kristo', au ni 'Kristo bandia'.
Mtume Yohana alisema: “Ni nani aliye mwongo ikiwa si yeye ambaye hukana kwamba Yesu ndiye Kristo? Huyu ndiye mpinga-Kristo, yeye ambaye hukana Baba na Mwana.” (1 Yohana 2:22) Waasi-imani na viongozi wa ibada bandia kama Uislam hupotosha mafundisho ya Yesu yaliyo wazi kuwa uwongo wa kidini unaotatanisha. Watu hao hukataa ukweli wa Biblia nao hueneza uwongo wakitumia jina la Allah na la Kristo. Wao hukana uhusiano wa kweli uliopo kati ya Baba na Mwana wa Mungu ambaye ni Kristo Yesu.
Biblia inasema Mpinga Kristo atakuja, ambaye kazi yake itakuwa kuwaua na kuwafunga gerezani Wakristo.
Leo nataka nikwambie huyo Mpinga Kristo ni nani na namna gani utamtambua.
UHUSIANO WA UISLAM NA NAMBA 666
Je! Uislam unahusiana vipi na namba 666?
Uislam umejengeka kupitia kitabu change kiongozi ambacho ni
qruani? Kitabu hiki kina jumla ya sura 114 na maneno 6666!
Kumbuka hesabu ya mpinga kristo ni 666! Sasa hapa ili shetani asijidhihishe wazi kwa Kuwa aliona Yesu amefunua siri hii kwa ulimwengu. Akaamua kuongeza sita moja nyuma ya mia sita sitini na sita. Lakini vile vile Sura hizo 114 ni sawa na 1+1+4 = 6. Hiyo ndio ile namba Sita ya nne kwenye maneno 666(6).
Lakini hii haitoshi, moja ya dalili kubwa kabisa za mpinga Kristo ni kuwaua na kuwafunga gerezani wafuasi wa YESU. huu ushahid upo kwenye nchi zote za Kiislam.
Qruan imeagiza kwamba kama mtu ni Mwislam kisha akaamua kuuacha Uislam, mtu huyo auawe maana amekuwa kafiri!
Tumeona mara kwa mara waislamu wakitekeleza mauaji na uharibifu wa mali za Wakristo, wakichoma moto Mahekalu.
Mfano:Tumeona wakichoma moto makanisa hapa kwetu Dar Es Salaam na sehem zingine.
Kwa sura hii moja kwa moja Uislamu ndiye mpinga Kristo.! Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini hawachomi moto nyumba za Waganga wa Kienyeji, lakini wanashughulika na Wakristo tu! Ni kwa sababu misheni ya mpinga Kristo sio kuwasumbua watu ambao wako chini ya shetani, Bali ni kuwataabisha wafuasi wa YESU na kuhakikisha hawaendelei kuwepo duniani.
JINSI AMBAVYO MPINGA KRISTO ANAVYO FANYA KAZI
Namna gani huyu shetani anafanya kazi?
Ikumbukwe kwamba Mungu hutumia watu ili kutekeleza kazi zake duniani, ndiyo maana utasikia kuna watu wanaitwa watumishi wa Mungu. Vivyo hivyo shetani naye hutumia watu ili kutekeleza kazi zake. Shetani yeye anatumia Waislam kufanya hii kazi ya kupinga Kristo.
Kwa kifupi Biblia imesema wazi moja ya Siri za huyo mpinga Kristo kuwa hesabu yake (namba yake) itakuwa 666, na hii namba ipo kwenye Uislam. Jumla ya maneno yote katika Quran ni 6666, kukiwa na ziada ya sita moja ambayo ni jumla ya 114 sura za Quran 1+1+4 = 6.
Kwa kuangalia andiko hilo watu wengi walidhani kuwa mpinga Kristo atatoka Marekani, dhana hii ilikuja baada ya ndege na vifaru vya Marekani kuonekana na namba 666.
Je! Dhana hii ni sahihi?
Jibu ni hapana. Mpinga Kristo hatoki Marekani, bali anatoka katika miji ya Makka na Madina ambako aliishi bwana mmoja maarufu sana aliyejulikana kwa jina la Muhammad. Huyu bwana ndiye mwasisi wa dini ya uislam duniani na ni mpinga Kristo.
Rafiki, tuko katika dunia ya shida. Na hizi ni nyakati za mwisho, kaza mwendo ukimtazama Bwana maana siku zetu hazikawii kuisha. Mungu akupe nguvu za kuweza kushindana siku ya uovu kwa Jina la YESU.
Tafakari
Jihoji
Chukua Hatua
YESU ANAKUPENDA
Ijue kweli nayo hiyo itakuweka Huru.
Max Shimba
For Max Shimba Ministries Org

ALLAH, MUHAMMAD, NA QURAN NI WAPINGA KRISTO (SEHEMU YA KWANZA)


(SEHEMU YA KWANZA)

1. Biblia inathibitisha kuwa ni Allah, Muhammad na Uislam
2. Quran inakiri kuwa Yesu si Mwana wa Mungu
3. Dini ya Uislam ni ya Mpinga Kristo

Ndugu Msomaji,

Leo nitawathibitishia kwa kutumia Biblia na Quran kuhusu nani ni Mpinga Kristo. Hebu tuanze kwa kusoam neno la Mungu.
WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 4:1-6

Wapenzi msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho kwamba zimetokana na Mungu, kwa sababu manabii wa uongo wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu , kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya Mpinga Kristo, ambayo mmeisikia kwa yaja , na sasa imekwisha kuwako duniani, ninyi watoto wadogo mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda kwa sababu yeye aliye ndanii yenu ni mkuu kuliko yeye aliyeko katika dunia.hao ni wa dunia , kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia. Sisi twatokana na Mungu . yeye amjua Mungu atusikia na yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.

Kwanza: Biblia inatufundisha kuwa Mpinga Kristo ni yule ANAYEKATAA KUWA YESU KRISTO HAJAJA KATIKA MWILI…YANI SIYE MWANA WA MUNGU, Soma (2 Yohana 1:7) na hapa tunawaona Waisilamu ndiyo namba moja wa kukataa hilo, sasa je, ni nani ni Mpinga Kristo kama si nyinyi waislamu? Isitoshe bado mnakazania kuwa YESU SIYE KRISTO Kwa madai kuwa eti huyo Kristo ni wa Paulo, na hapo pia Biblia inatuthibitishia kuwa nyinyi waislamu ndiyo haswa ni Wapinga Kristo…tazama na uthibitishe mwenyewe kwenye (1 Yohana 2:22).

Sisi Wakristo lazima tufahamu kuwa Mpinga Kristo kwa mujibu wa Biblia ni yule anayekataa kuwa YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU ALIYESHUKA KATIKA MWILI ILI KUTUOKOA SISI WANADAMU HAPA DUNIANI…Huu ndiyo msingi wetu sisi Wakristo ambao Waislamu wote duniani wamefundishwa na mungu wao Allah kuupinga kabisa kabisa msingi huu…Sasa lazima tujiulize Mpinga Kristo haswa ni nani? Jibu ni rahisi mno ‘ALLAH NA DINI YAKE YA UISILAMU’.

Pili: Mtu yeyote ambaye hamwamini Bwana Yesu ya kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yake huyo tayari ni mpinga Kristo kwa sababu hana ushirika nayeye na wala hamuabudu yeye kabisa. Aliye hivyo huyo anaitwa Mpinga Kristo na ule mwisho Yesu akija kuhukumu ulimwengu hatawachukua hao wasiyo mwabudu yeye, na Nabii huyo Yesu wa Nazareti. Nabii huyu watu wanamjua ni nabii wa Mungu na ndiye atakayekuja kuhukumu ulimwengu siku ile ya kiama. Sasa kama hapa tu sasa hivi unampinga, je jiulize swali nayeye atakukubali uende naye uzimani alipo yeye? Jibu hatakuchukua na ameniambia niuambie ulimwengu wote atakaye sikia na asikie atakayekataa shauri lake. Wote wasiomwabudu yeye 100% ni wapingaji wa kumpinga Yesu Kristo na hao ni wapinga Kristo.

Tazama sasa shetani alivyoitumia Quruani kuwa Mpinga Kristo wa wazi wazi kabisa!! Kwa sababu alijua kabisa kuwa Mwana wa Mungu na damu yake ya wokovu pale Msalabani vingewaletea wanadamu wote neema ya Mungu na kuwatoa katika utumwa wa dhambi na hukumu dhidi ya sheria au haki ya Mungu, soma (Zaburi 85:13). Akaona azuie njia ile ya Mungu ili watu waangamie!!. Fahamu kuwa msamaha wa dhambi katika Torati ni damu ya wanyama, soma (Walawi 17:11) na msamaha wa dhambi katika njia ya Mungu (Injili) ni Yesu Kristo) soma (Isaya 53:4-12) linganisha na (Waefeso 1:7).

Sasa baada ya yote haya, namalizia na mpambano mkali kati ya MPINGA KRISTO (ALLAH NA KURUANI YAKE) DHIDI YA BIBILIA NENO LA KWELI LA MUNGU.

Ndugu msomaji utakaesoma mpambano huu sitanukuu moja kwa moja maandiko lakini nitakachokiandika, mashahidi mtakuwa wenyewe kuona kama ni kweli au uongo ya kuwa vitabu hivi vinapambana kiasi hicho..nami sitaandika uongo kamwe.

Hebu tuanze: 
BIBLIA: ‘Yesu Kristo alisulubiwa. QURAN: hapana hapana walimsulubisha mwandaazimu mwingine wakizani ndiye!!.

BIBLIA: Yesu ni Mwana wa Mungu. QURAN: ni uongo kwa kuwa Mungu hana mwana wala hazai!!.

BIBLIA: ’tunapata msamaha wa dhambi kupitia damu ya Yesu. QURAN: sivyo kabisa…Mnyaai Mungu ndiye akusameheni madhambi yenu pale mtakapoenda Makka japo mara moja kuhiji. (kiswali chandu cha uzushi..wale masikini je?..Ndiyo kusema pepo ni ya matajiri tu?!!).

BIBLIA: Majini wana asili ya mashetani, ni kundi au jeshi la yule muovu, msishirikiane nayo katika ibada wala kuwatolea sadaka.
QURAN: ALLAH asema: nimekuumbeni na majini ili mpate kuniabudu!! (swali la uzushi:Shetani na majini yake yanaabudu na waisilamu ili yaende wapi wakati wao walisha laaniwa na wanachosubiri ni jehanam tu!!).

Huu ni Msiba Mwengine katika dini ya Allah ambayo sasa tumejifunza kuwa ni ya Mpinga Kristo.

Nawakaribisha kwa Mungu Mkuu ambaye ni Yesu Kristo aliye hai.

Katika huduma yake,
Max Shimba
For Max Shimba Ministries Org
July 2015

MAISHA BAADA YA KIFO

 
Je, unaamini kwamba kuna maisha baada ya kifo?

Je, unaamini kwamba kuna wakati wa hukumu baada ya binadamu kukutwa na mauti?

Ndugu Msomaji,

Nivyema ufahamu nini kitakutokea punde utakapo kata roho/kufa. Swali la muhimu la kujiuliza ni hili hapa: Je, unauhakika wa wapi utakuwa baada ya kifo?


Biblia inatuambia ya kuwa baada ya mtu kufa, hupelekwa mbinguni ya Muda “Peponi” (Sio Mbingu ambayo Mungu yupo sasa ila ni –Abraham’s bosom) au Jehanamu “kuzimuni ya muda-Akhera” kulingana na hoja ya kuwa alikuwa amemkubali ama kumkataa Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wake/wako. Kwa walioamini, kufa ni kuondoka katika mwili na kuenda kukaa na Bwana “to be absent from this body is to be present with the Lord” (Wakorintho wa pili 5:6-8; Wafilipi 1:23). Kwa wasioamini, kufa ina maana ya hukumu ya milele Jehanamu (Luka 16:22-23).


Hapa ndipo kwenye utata juu ya ni nini hufanyika baada ya kifo. Kitabu cha Ufunuo Sura 20:11-15 inaeleza juu ya wale walio kuzimu wakitupwa katika ziwa la moto. Ufunuo 21 na 22 inazungumzia juu ya mbingu mpya na dunia mpya. Kwa hivyo ina maana ya kuwa mpaka wakati wa ufufuo wa mwisho, baada ya kufa mtu hubaki katika mahali Fulani kwenye mfano wa mbinguni na kuzimu. Mahali pa mtu anapofaa kukaa milele hapatabadilika ila makazi ya muda yatabadilika “NI KAMA MAHABUSU, HALAFU MTU ANAPELEKWA JELA/ACHIWA”. Muda Fulani baada ya kufa, waumini watapelekwa katika mbingu mpya na nchi mpya (ufunuo wa Yohana 21:1) na wasioamini katika ziwa la moto (ufunuo 20:11-15). Haya ndiyo makao ya milele ya watu yanayotegemea kama mtu alimwamini Yesu Kristo pekee kwa wokovu kutokana na dhambi zake.

Wakati sisi hufa, sisi hupatana na hukumu ya Mungu (Waebrania 9:27). Kwa waumini, kuwa mbali na mwili ni kuwa pamoja na Bwana (2 Wakorintho 5:6-8; Wafilipi 1:23). Kwa makafiri kifo kinamaanisha adhabu ya milele katika jehanamu (Luka 16:22-23). “Makafiri ni wale walio kataa kuwa Yesu ni Mungu”

Mpaka kufufuka kwa mwisho, hata hivyo, kuna Mbinguni ya muda- Peponi (Luka 23:43, 2 Wakorintho 12:04) na kuzimuni ya muda-ahera (Ufunuo 1:18; 20:13-14). Kama inavyoweza kuonekana wazi katika Luka 16:19-31, katika Peponi wala katika Akhera watu hawalali. inanaweza semekana kuwa, mwili wa mtu "unalala" huku nafsi yake ikiwa peponi au kuzimuni. Wakati wa ufufuo, mwili huu "utaamshwa" na kubadilishwa hadi mwili wa milele mtu atamiliki milele, hata kama ni mbinguni au kuzimu. Wale ambao walikuwa katika peponi watapelekwa mbingu mpya na nchi mpya (Ufunuo 21:1). Wale ambao walikuwa katika kuzimu kutupwa katika ziwa la moto (Ufunuo 20:11-15). Hizi ndizo hatima za mwisho na milele ya watu wote ikitegemea ikiwa mtu aliamini katika Yesu Kristo kwa ajili ya wokovu au la.

Zaidi ya hapo, Bibilia inatuambia yakwamba sio maisha pekee tu baada ya kifo, bali kuna uzima wa milele wenye utukufu mwingi “Hakuna jicho limeshaona, wala sikio kuyasikia, wala hayakuingia katika moyo wa mwanadamu, mambo ambayo Mungu aliwaandalia wampendao’’ (1Wakorintho 2:9) Yesu Kristo, Mungu katika mwili, alikuja duniani kutupa karama ya uzima wa milele. “Alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona’’ (Isaya 53:5).

YOHANA 14:1-3"Msifadhaike mioyoni mwenu; mnamwamini Mungu, niaminini na mimi. Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo , ningaliwaambia ; maana naenda kuwaandalia mahali.Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali , nitakuja tena nitawakaribishe kwangu ; ili nilipo mimi, nanyi mwepo"




Je kuna haja ya kuogopa kifo??
“Yesu akamwambia, mimi ndiye huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi ajapokufa, atakuwa anaishi, naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je Unayasadiki hayo?” – John 11:25-26


Je, unaamini kwamba kuna maisha baada ya kifo?

Je, unaamini kwamba kuna wakati wa hukumu baada ya binadamu kukutwa na mauti?
Ikiwa ndivyo, hii ina maanisha kwamba binadamu anaishi baada ya kuondokana na mazingira ya duniani?
Je, anaishije huko?
Anakula, anakunywa, anatembea, anaongea au anasikia?
Vipi ana mwili wa nyama au roho?
Kama roho basi, ataunguaje motoni siku ya hukumu?
Maisha ya duniani ya sasa ni mtihani tu; ni matayarisho ya yale yajayo. Kwa waaminio, huu ni uzima wa milele kuweko mbele za uwepo wa Mungu. Basi ni kwa jinsi gani tunafanyinyika wenye haki na kustahili kupokea uzima huu wa milele?
YESU NDIO NJIA PEKEE YA UZIMA WA MILELE:

Kuna njia moja pekee – kupitia imani na tumaini ndani ya Mwana wa Mungu, Yesu kristo. Yesu alisema, “mimi ndimi huo ufufuo na uzima. Waniaminio mimi wajapokufa wataishi. Wanapawa uzima wa milele kwa kuniamini mimi na hawatapotea…” (Yohana 11:25-26).


Kipawa hiki cha uzima wa milele kinapatikana na ni bure kwa wote lakini kinagharimu kujikana wenyewe raha Fulani za dunia na kutoa sadaka kwa Mungu. “na wote wamwaminio mwana wa Mungu wana uzima wa milele. Wasiomtii Mwana hawatapata uzima wa milele bali ghadhabu ya Mungu inadumu juu yao” (Yohana 3:36).
BAADA YA KUFA HAKUNA NAFASI YA PILI YA KUTUBU:
Hatutapatiwa nafasi ya kutubu dhambi zetu baada ya kufa kwa kuwa tukimuona Mungu uso kwa uso hatutakuwa na lengine ila kumwamini. Anatutaka tumjilie sasa kwa imani na upendo. Tunapokubali kwamba kifo cha Yesu Msalabani ni malipo kamili ya dhambi zetu dhidi ya Mungu, tumeahidiwa si tu maisha mema duniani bali pia uzima wa milele mbele ya Kristo.

JEHANNAM:

Jehanamu, kama vile mbinguni, si mahali patajwapo kwa utisho tu bali ni mahali dhahiri. Hapa ni mahali ambapo wasiohaki watakutana na ghadhabu isiyokoma ya Mungu. Watavumilia mateso ya kihisia, kiakili, na kimwili wakiwa katika akili zao timamu huku wakijihisi kuaibika na kujuta kwa matendo yao maovu.


Jehanamu inaelezewa kama shimo la giza (Luka 8:31, Ufunuo wa Yohana 9:1), na Ziwa la Moto, liwakalo na kiberiti ambapo watakao kuwemo watateswa usiku na mchana milele na milele (Ufunuo 20:10). Huko kutakuwa na kulia na kusaga meno, ikiashiria machungu makali na hasira (Mathayo 13:42). Hapa ni mahali ambapo mdudu hatakufa wala makaa kuzimika (Marko 9:48). Mungu hafurahishwi na kufa kwa mtu muovu, lakini hutaka wazighairi njia zao mbaya ili waishi (Ezekiel 33:11). Lakini hatatulazimisha kumkubali; tukiamua kumkataa yeye. Hana budi kutupatia tulilolichagua – kuishi mbali naye.

Je unaamini kuwa kunayo maisha baada ya kifo?
Ni nini hufanyika baada ya kufa?

Je! Unaamini kuwa Jahannamu ni kitu cha kweli? Jehannamu ni ya milele?

Je, kuna ngazi mbalimbali za mbinguni?

Je, kuna viwango tofauti vya adhabu jehanamu?

Basi ungani nami katika kijarida kijacho kuhusu Maisha ya Milele.

Mungu awabariki sana,

Max Shimba


For Max Shimba Ministries Org.



Saturday, February 20, 2016

SHOGA MAARUFU DAR -AUNT ASU- AOKOKA

HATIMAYE ANTI ASU (SHOGA) ABATIZWA SASA AWA KIUMBE KIPYA


Anti Asundilo lilikuwa jina lake kabla ya kuamua kuokoka na kuacha ushoga kijana huyo wa kiislamu hatimaye amebatizwa na sasa amekuwa mkristo safi baada ya kutimiza haki yote ya kubatizwa kwa maji mengi kama hukusoma habari yake ya awali bonya hapa. 


Shoga maarufu Dar aokoka, na kuachana na ushoga ni Anti Asu kijana huyo sasa analelewa na mchungaji Dunstan Kanemba katika kanisa la TAG Magomeni Mikumi.
Anti Asu akiwa amevaliswa mavazi ya kupendeza na kujiona ni mwanaume tena hapa alikuwa anatambulishwa na Mch
Anti Asu akibatizwa na sasa anaitwa Amosi
Amosi akiwa na wazazi wake waki roho
Amosi amekuwa kiumbe kipya baada ya kufa na kuzikwa na kufufuka na kristo kwa ubatizo wa maji mengi
Huyu naye ni kati ya watu waliobatizwa siku hiyo ni Mzee Mbise anafanya kazi katika kampuni ya Dar express

Friday, February 19, 2016

BIBLIA INAKATAZA USHOGA

Je, Biblia inasema nini juu ya Ushoga?
Je, Ushoga ni dhambi?

Ndugu msomaji,

Leo, watu wengi kupitia viongozi fulani wa dini hawashutumu ngono kati ya watu wa jinsia moja. Hata hivyo, Biblia iko wazi kuhusu jambo hilo. Inatuambia Mungu aliumba mwanamume na mwanamke na kwamba alikusudia ngono ifanywe kati ya mume na mke tu. (Mwanzo 1:27, 28; 2:24) Hivyo, haishangazi kwamba Biblia inashutumu ngono kati ya watu wa jinsia moja.—Waroma 1:26, 27.

Waislam mara nyingi wamekuwa wakisema na kuwashutumu Wakristo, eti, Ukristo unaruhusu ushoga, huku ikifahamika kuwa, hakuna aya hata moja inayo ruhusu huu uchafu.

Walawi 18:22-23 "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo. Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko".

Neno la Mungu kama lisemavyo kwenye Biblia linasisitiza kila mara kwamba ushoga na usagaji ni dhambi (Mwanzo 19:1-13; Mambo ya Walawi 18: 22; Warumi 1:26-27; Wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Wanadamu wanajinenea kuwa wenye hekima na kupumbazika. Mtume Paulo ameeleza vizuri katika Waroma1:21-27.

Mungu amewaacha wafuate akili zao. Kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao ,Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.Waroma1:28

Watu wengine wanasema kwamba ushoga upo kwenye chembe za urithi. Wengine wanasema kwamba mtu hujifunza zoea hilo. Si kusudi la makala hii kujadili ikiwa zoea hilo ni la kurithiwa au ni la kujifunza. Kwa wazi, kusema kwamba ushoga unasababishwa na jambo fulani hususa haingekuwa kweli. Inaonekana kwamba kama ilivyo kwa mazoea mengine, ni vigumu kufahamu chanzo cha zoea hilo.


Hata chanzo kiwe nini, jambo muhimu ni kutambua kwamba Biblia inashutumu ngono kati ya watu wa jinsia moja.


Mungu hakuumba mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (Warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.
Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).


JE, UNAWEZA KUISHINDA TAMAA HII YA USHOGA?
Unaweza kuepukaje kujihusisha na ngono ya watu wa jinsia moja?

▪ Kwanza Mtupie Mungu mahangaiko yako yote kupitia sala, ukiwa na uhakika kwamba ‘anakujali wewe.’ (1 Petro 5:7; Zaburi 55:22) Mungu anaweza kukuimarisha kwa kukupa amani “yenye ubora unaozidi fikira zote.” Amani hiyo ‘itaulinda moyo wako na nguvu zako za akili’ na kukupa “nguvu zinazopita zile za kawaida” ili usitende kulingana na tamaa zisizofaa. (Wafilipi 4:7; 2 Wakorintho 4:7) Sarah, ambaye alihofia kwamba anavutiwa na watu wa jinsia zote mbili, anasema: “Kila wakati ninapopatwa na hisia hizo, mimi husali; na Yehova hunitegemeza. Nisingeweza kukabiliana na tatizo hilo bila msaada wake. Sala ndiyo msaada wangu mkubwa!”—Zaburi 94:18, 19; Waefeso 3:20.

▪ Pili Jaza akili yako mambo ya kiroho yenye kujenga. (Wafilipi 4:8) Soma Biblia kila siku. Usidharau uwezo wake wa kuongoza akili na moyo wako daima. (Waebrania 4:12) Kijana mmoja anayeitwa Jason anasema: “Biblia—kutia ndani maandiko kama vile 1 Wakorintho 6:9, 10; na Waefeso 5:3—imenisaidia sana. Mimi husoma maandiko haya kila wakati tamaa mbaya zinaponijia.”

▪ Tatu Epuka ponografia, yaani picha au habari za kingono na propaganda za ngono kati ya watu wa jinsia moja ambazo zinaweza kuchochea mawazo yasiyofaa.* (Zaburi 119:37; Wakolosai 3:5, 6) Sinema na vipindi fulani vya televisheni pia huendeleza wazo la kwamba ngono kati ya watu wa jinsia moja ni mtindo mwingine tu wa maisha. “Maoni yaliyopotoka ya ulimwengu yaliathiri sana akili yangu, na kufanya nichanganyikiwe kuhusu hisia za kuvutiwa na watu wa jinsia yangu,” anasema Anna. “Sasa mimi huepuka kabisa kitu chochote au mtu yeyote ambaye anaunga mkono ngono kati ya watu wa jinsia moja.”—Methali 13:20.

▪ Nne Zungumza na mtu unayemwamini kuhusu hisia zako. (Methali 23:26; 31:26; 2 Timotheo 1:1, 2; 3:10)

MAMBO YA KUFIKIRIA
▪ Kwa nini Mungu hushutumu ngono kati ya watu wa jinsia moja?
▪ Utafanya nini ikiwa unakabiliana na hisia za kuvutiwa kingono na mtu wa jinsia yako?
▪ Unaweza kuongea na nani ikiwa unahangaishwa na hisia za kufanya ngono na mtu wa jinsia yako?

Walawi 18:22-23 "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo. Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko".

Ushoga ni dhambi na umekatazwa kwenye Biblia.

Mungu awabariki sana.

Max Shimba

For Max Shimba Ministries Org.

Ancient Jewish Wedding Ceremony: “No man knows the day or hour, only the Father”

  The Ancient Jewish Marriage Rite: A Detailed Exposition of Betrothal, Preparation, and Consummation Dr. Maxwell Shimba Shimba Theological ...

TRENDING NOW