Friday, October 7, 2016

SHETANI NI MUSLAMU


Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)

Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae,

Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.

Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu,sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.

No comments:

Mohammad’s Myths vs. Biblical and Scientific Reality: A Scholarly Debate on Laughter, Heart, and Divine Truth

By Dr. Maxwell Shimba, Shimba Theological Institute Introduction In evaluating the truth-claims of any religion, the alignment between i...

TRENDING NOW