Friday, May 11, 2018

KWANINI MAGAIDI WENGI NI WAISLAM?

Image may contain: one or more people and people standing

Ugaidi ni mfumo wa kulenga mabadiliko ya kidini kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Matendo ya kigaidi yanatisha kwa sababu watu wanajeruhiwa au kuuawa. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi.
Allah ndio amewatuma waislam wawe magaidi:
Nimeendelea kufuatilia kwa makini matukio mengi katika nchi za kiarabu/kiislam: Libya, Misri, Afghanistan, Iraq, Sudan, na jana huko France. Ni mauaji, mauaji, mauaji. Damu, damu, damu. Hofu, hofu, hofu, na ukatili, ukatili, ukatili.
Yote haya yanafanywa kwa kisingizio cha kutetea uislam au kufuata mafundusho ya mtume. etc.
Quran 2:191. Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni huko basi nanyi pia wapigeni. Na hivi ndivyo yalivyo malipo ya makafiri.
193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu tu. Na kama wakiacha basi usiweko uadui ila kwa wenye kudhulumu.
Quran 47:4 Basi mnapo wakuta walio kufuru wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni pingu. Tena waachilieni kwa hisani au wajikomboe, mpaka vita vipoe. Ndio hivyo. Na lau angeli taka Mwenyezi Mungu angeli washinda mwenyewe, lakini haya ni kwa sababu akutieni mitihani nyinyi kwa nyinyi. Na walio uliwa katika njia ya Mwenyezi Mungu hatazipoteza a'mali zao.
Quran 4:74 Basi nawapigane katika Njia ya Mwenyezi Mungu wale ambao wanao uza uhai wa dunia kwa Akhera. Na anaye pigana katika Njia ya Mwenyezi Mungu kisha akauliwa au akashinda basi tutakuja mpa ujira mkubwa
Leo magaidi wanaweza kupata silaha mbalimbali pia: “Twaishi katika enzi iliyo na silaha nyingi hatari zinazoweza kuangamiza watu wengi sana: silaha za nyuklia, kemikali, na zenye viini.” Waislamu wenye siasa kali wanaotaka kushtua ulimwengu wanatumia silaha hatari zaidi za kisasa.
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW