Wednesday, February 22, 2017

HATIMAE SHETAN KWA KINYWA CHAKE AKIRI KUWA YESU NI MUNGU

Image may contain: text
AKIRI KUWA YESU NDIYE ATAKAE MHUKUMU SIKU YA MWISHO/KIYAMA:
Ndugu msomaji,
Unapoona mada hii inajirudia katika mandiko tofauti, tofauti, ikithibitisha mamlaka kuu na nguvu za Yesu kuanzia mbinguni, duniani na hadi chini ya aridhi;
Nikwamba INAKUJENGEA IMANI WEWE USIYE AMINI UUNGU, UKUU, NA MAMLAKA YA YESU.
Kwahiyo shetani yeye anaitumia fulsa hiyo ya kuivunja imani hiyo ya Yesu kwa kusema "Yesu ni mtu tu kama nyinyi sichohote silolote" NAKUIVUNJA IMANI YA WATU WAKIFIKILI YESU SILOLOTE,
Tuanze na Qur'an Al-Hijr 34 ( ALLAH ) akasema basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni! 35 na hakika juu yako ipo laana mpaka siku ya malipo, 36 akasema (Iblisi) mola wangu mlezi! NIPE MHULA MPAKA WATAKAPO FUFULIWA. 37: (ALLAH) akasema HAKIKA WEWE NI KATIKA WALIO PEWA MHULA. 38 MPAKA SIKU YA WAKATI MAALUMU.
Katika mstari wa 36 shetani anaomba apewe MHULA MPAKA WATAKAPO FUFULIWA.
JE NINANI HUYO AMBAE SHETANI ANASEMA ATAFUFUA?
Yohana 11:25 YESU akamwambia, MIMI NDIMI HUO UFUFUO NA UZIMA, yeye aniaminiye Mimi HAJAPO KUFA ATAKUA ANAISHI:
Kumbe shetani anamfahamu fika Yesu na ndio maana anamuomba atakapo kujakufufua wafu siku ya mwisho ndipo nae ahukumiwe.
Katika mstari wa 37-38 tunaona Allah kwa kinywa chake anamwambia shetani kwamba AMEPEWA MHULA MPAKA WAKATI MAALUMU.
ALLAH #HAKUMWAMBIA SHETANI KWAMBA NIMEKUPA MHULA, LA HASHA,
BALI ALIMWAMBIA #UMEPEWA MHULA.
JE MUNGU ALIYE MPA MHULA SHETANI ANAITWA NANI?
KWASABABU ALIYE PEWA MHULA NI SHETANI, NA SHETANI ANAMJUA ALIYE MPA MHULA, SHETANI MWENYEWE ANATHIBITISHA KWA KINYWA CHAKE:
UTHIBITISHO WA AYA:

Mathayo 8:28 nae alipo fika g'ambo katika nchi ya wagerasi,watu wawili wenye mapepo (MASHETANI) walikutana naye, wanatoka makaburini, wakali mno, hata mtu asiweze kuipitia njia ile. 29 NA TAZAMA WAKAPIGA KELELE WAKISEMA TUNA NINI NAWE MWANA WA MUNGU (YESU)? JE UMEKUJA UMEKUJA KUTUTESA KABLA YA MUHULA WETU?

ARGUMENT/HOJA:
KWANINI MASHETANI MAKUBWA KWA MADOGO KWA VINYWA VYAO YALILIA NA KUSAGA MENO NA PIA YALIKIRI KUWA YESU NDIYE ATAKAE YATESA (KUHUKUMU)?
Yalishangaa kumuona duniani wakati mhula aliyo mpa shetani haujafika , kumbe yeye alikuja duniani kwaajili ya uokovu wawatu wake.
Yaan nisawa ya mtu aliye hukumiwa kunyongwa baada ya kipindi cha mwaka mmoja, harafu unamuona atakae kunyonga anaadaa vifaa vyake vya kazi kwa ajili hiyo,kabla ya wakati wake nilazima utalia na kusaga meno
NINAFIKILI IMEFAHAMIKA SASA ALLAH KWA KINYWA CHAKE ASEMA SHETANI ALIPEWA MHULA NA MUNGU.
SHETANI NAE KWA KINYWA CHAKE ANASEMA NIKWELI HUYO MUNGU ALIYE NIPA MHULA ANAITWA YESU YAAN MUNGU MWANA.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
YESU NI ALFA NA OMEGA
Kwa idhini ya: Kanyesah Fabian
Imeratibiwa na Max Shimba Ministries

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW