Wednesday, February 8, 2017

HATIMAYE MUHAMMAD AKIRI KUWA YESU NI MUNGU.


Nani atakuhukumu walimwengu wote?
Biblia inakujibu kuwa Yesu ndie atakaye hukumu walimwengu wote, ikimaanisha Muhammad, Allah, Waislam wote, Majini yote yatahukumiwa na Yesu.
(Zaburi 58:11 ), ‘Hakika yuko Mungu anayetawala katika dunia“. (Ufunuo 18;8 ) “Kwasababu hiyo, mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti na huzuni na njaa naye atateketeza kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni mwenye nguvu“. Tene ndiye atakaye ihukumu Dunia yote “Tena Baba hamhukumu mtu ye yote,bali amempa Mwana (YESU) hukumu yote“.
(Mathayo 25:31-32 ) “Hapo atakapokuja Mwana wa Adamu (YESU) katika utukufu wake, na malaika watakatifu wote pamoja naye, ndipo atakapoketi katika kiti cha utukufu wake. Na mataifa yote yatakusanyika mbele zake,naye atawabagua kama vile mchungaji abaguavyo kondoo na mbuzi”.
(Matendo 10:42 ) “Akatuagiza tuwahubiri watu na kushuhudiaya kuwa huyu ndiye (Yesu) aliyeamriwa na Mungu awe mhukumu wa wahai na wafu” ( WARUMI 2:16 ) “Katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu,sawasawa na injili yangu,kwa Kristo Yesu“. (2 Timotheo 4:1 ) “Nakuagiza mmbele za Mungu,na mbele za Kristo Yesu, atakayewahukumu waliohai na waliokufa; kwa kufunuliwa kwake na kwa ufalme wake’.
LAKINI NILIPO VISOMA VITABU VYA KIISLAM Sahih Bukhari....... 95 Hadith ya Abu Huraira (ra0 amesema: Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, "Naapa kwa ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, karibu atatetemka kati yenu Mwana wa Maryam atahukumu kwa uadilifu....
USHAIDI UNASEMA KUWA:
1. Muhammad anaapa kwa Yesu na sio Allah.
2. Muhammad anakiri kuwa Yesu atarudi kutoa hukumu kwa uadilifu.
3. Muhammad anakiri kuwa nafsi yake ipo mikononi Mwa Yesu ambaye ni Mungu wake.

LEO TUMEJIFUZA KWA KUTUMIA VITABU VYA WAISLAM KUWA, HATA MUHAMMAD NABII WA ALLAH AMEKIRI KUWA YESU NI MUNGU WAKE NA ANAMHUKUMU SIKU YA KIYAMA.
Sasa kwanini usimpokee Yesu ambaye atakuhumu maisha yako/ Kumbuka, HAKIMU NI YESU NA SIO ALLAH, AU MUHAMMAD.
Karibu kwa Yesu
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW