Saturday, August 13, 2016

UISLAM NI DINI YA KUJITUNGIA, HAIKUWEPO WAKATI WA ADAM WALA MUSA WALA IBRAHIM

UISLAM NI FAKE [BANDIA]
Ndugu msomaji,
Uislam ni neno au jina linalo itambulisha dini ya Allah na yenye mtume aitwaye Muhammad. Hili neno "UISLAM" halikuwepo kabla ya kuzaliwa Muhammad. Zaidi ya hapo, hili neno Uislam lilianzishwa na Muhammad aliye muumba Allah. Ndio nasema Muhammad aliye muumba Allah.
Hakuna uthibitisho wa kihistoria ambao uliokuwepo kabla ya Quran kuwa hili neno UISLAM lilikuwepo.
Waislam, mimi SINA MUDA NA AYA ZA QURAN ZILIZO TUNGWA NA MUHAMMAD NA RAFIKI ZAKE. MNILETEE UTHIBITISHO WA VITABU KABLA YA QURAN KUWA HILI NENO UISLAM LILIKUWEPO.
Zaidi ya hapo, hakuna uthibitisho katika Taurat, au Zaburi, au Injili wenye hili neno UISLAM ndani yake. Ndio maana leo nasema kuwa UISLAM NI DINI YA KUJITUNGIA TU.
Sahih Bukhari, Volume 1, Book 2, Number 19: Narrated 'Aisha: Muhammad anasema katika hii hadithi kuwa yeye ndie anamfahamu Allah kuliko viumbe wote walio kuwepo duniani.
Muhammad teyari anaonyesha sifa zote za kumtengeneza Allah ambaye anamtengenezea Uislam na kudai ni dini ya Mwenyezi Mungu.
Swali la kujiuliza, wapi uthibitisho wa kuwepo hili neno UISLAM kwenye vitabu vilivyo kuwepo kabla ya Quran au kuzaliwa kwa Muhammad?
Ili kusaidia huu ukweli angalia jinsi Allah aliye umbwa na Muhammad anavyo tengeneza mazingira ya kumlinda Muhammad. Soma katika Surat Al Fat-hi 13. Na asiye muamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi kwa hakika Sisi tumewaandalia makafiri Moto mkali.
Kama huyu Muhammad aliye kiri kuwa hajui atafanywa nini na Allah baada ya kifo, iweje leo hii lazima afuatwe? Hivi utamfuata vipi mtu ambaye hajui nini atafanywa na Allah? Soma: Muhammad hajui atafanywa nini baada ya kiifo. Huu ni Msiba mkubwa sana kwa Waislam wanao fuata unabii wa Muhammad asiye juwa wapi anaenda.
Qur’an 46;9 (Surat Al-Ahqaf) Sema; mimi si kiroja (mpya) katika mitume wala sijui nitakavyofanywa, wala mtakavyofanywa ninyi, sifuati yaliyofunuliwa kwangu, sikuwa mie lolote, ila ni muonyaji tu ninayedhihirisha.

Hadithi ya Abu Huraira (r.a) amesema, Mtume wa Allah (s.a.w) amesema, “Hakuna yeyote miongoni mwenu atayeokolewa na amali yake” Wakasema hata wewe mtume wa Allah? Mtume (S.A.W) akasema, “Wala mimi isipokuwa anifunike Allah kwa rehema zake; hivyo fanyeni amali njema kwa uadilifu” (Bukhari Hadithi Na. 470, Juzuu ya
Hadithi ya Aisha kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema, “Fanyeni yaliyo sahihi na yatekelezeni, na furahini kwa kuwa hakuna yeyote atakayeingiziwa peponi kwa amali (matendo) yake” Wakauliza ‘hata wewe mtume wa Allah?’ Mtume (s.a.w) akasema, ‘Hata mimi isipokuwa kama Allah atanifunika kwa rehema zake” (Bukhari Hadihthi Na. 474, Juzuu ya
Sasa kama mtume mwenyewe hajui hatima yake siku ya mwisho kuna haja gani Wakristo tunaojitambua kuufuata UISLAMU? Yaani tumwache Yesu mwenye uhakika na watu wake na kile atakachowapa wanaomfuata NA TUFUATE DINI ILIYO TUNGWA NA MUHAMMAD.
NDIO MAANA NASEMA KUWA UISLAM NI DINI YA KUJITUNGIA TU, HAIKUWEPO WAKATI WA ADAM, WALA MUSA WALA IBRAHIM NK.
Kama kuna Muislam anabisha, basi aniletee uthibitisho wenye jina "UISLAM" au "ISLAM" kwenye vitabu vilivyo kuwepo kabla ya Quran.
Kama kuna Muislam anaweza niletea uthibitisho wa kihistoria kuwa neno Uislam lilikuwepo kabla ya kuzaliwa Muhammad, basi aulete hapa ili niuone na nitasilimu niwe Muislam.
UISLAM NI DINI YA KUTUNGWA TU, HAIKUWEPO KABLA YA KUZALIWA MUHAMMAD.
Waislam, kwanini mnafuata DINI YA KUTENGENEZA?
Waislam, kwanini mnafuta UISLAM ULIOTUNGWA NA MUHAMMAD NA HAUKUWEPO KABLA YAKE?
SINA MUDA NA AYA ZA QURAN ZILIZO JAA SHAKA NA KUTUNGWA NA MUHAMMAD. MIMI NATAKA UTHIBITISHO WA VITABU VINGINE VILIVYO KUWEPO KABLA YA QURAN NA KUZALIWA KWA MUHAMMAD.
HUU NI MSIBA MKUBWA SANA MPAKA MAKKA.
Usikose mada ya "MUHAMMAD KAMUUMBA ALLAH [MUHAMMAD = ALLAH]
Ni mimi Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo,

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW