Friday, August 26, 2016

YESU ANAWAPENDA SANA WATOTO WADOGO


Nyakati nyingine pia, Yesu anaonyesha namna anavyopenda sana watoto wadogo. Miezi michache baadaye watu fulani wanaleta watoto wamwone Yesu. Mitume wanajaribu kuwazuia. Lakini Yesu anawaambia mitume wake hivi: ‘Acheni watoto waje kwangu, msiwazuie, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wa watu kama hao.’ Ndipo Yesu anachukua watoto mikononi mwake, anawabariki. Ni vizuri kujua kwamba Yesu anawapenda watoto wadogo.
Mathayo 18:1-4; 19:13-15; Marko 9:33-37; 10:13-16.

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW