Saturday, September 15, 2018

MOHAMMAD ANASEMA ETI JUA LA KIANGAZI LINASABABISHWA NA KUPUMUA KWA MOTO WA JEHANNAM

No automatic alt text available.
MOHAMMAD ANASEMA ETI JUA LA KIANGAZI LINASABABISHWA NA KUPUMUA KWA MOTO WA JEHANNAM
HAKIKA UKOSEFU WA ELIMU UMESHAMIRI KWENYE UISLAM.
Sahih Bukhari 4:54:482
Imesimuliwa na Abu Huraira: Nabii wa Allah alisema: Moto wa Jehannam ulilalamika kwa Bwana wake Allah, Oh Bwana wangu! Sehemu ya viungo vyangu vinakulana venyewe. Hivyo, Allah akaviamuru vipumue mara mbili, mara moja wakati wa kipindi cha Baridi, na kingine wakati wa Kiangazi, ni hii ndio sababu luna joto kali sana na baridi kali sana wakati wa vipindi hivyo.
Hivi huyu Marehemu Muhammad anajua jinsi vipindi hivi vinavyo patikana au ni ukosefu wa elimu?
Kipindi cha Kiangazi hutokea upande wa Kaskazini na Kusini mwa Dunia kwa tofauti ya saa ya mwaka ya Nusudunia ya Kaskazini, Kiangazi uchukua nafasi katika mwezi Juni na Septemba, na Nusudunia ya Kusini uchukua nafasi kati ya mwezi Desemba na Machi. Hii utokana na Nusudunia ya Kaskazini, au sehemu ya Nusudunia, huelekea usawa wa Jua, na Nusudunia ya Kusini yenyewe hutoweka.
Kipupwe ndiyo majira ya baridi zaidi ya mwaka, kama majira ya baridi katika hali ya hewa ya wastani. Kipupwe hutokea kati ya demani na masika. Wakati wa solistasi ya kipupwe, mchana huwa mfupi zaidi na usiku huwa mrefu zaidi. Kutokana na theluji, barafu na hali ya hewa nyingine ya kipupwe, baadhi ya ndege huhama; dubu hubumbwaa. Wanyama wengine huweka chakula kwa ajili ya kipupwe ili waweze kuishi, kama vile: kindi, biva, vinyegere, melesi na rakuni. Manyoya ya wanyama wengine hata hubadilika, kwa mfano, manyoya ya mbweha-aktiki hubadilika kuwa meupe kupatana na mandhari ya theluji.
Masika (Majira ya machipuko) Spring (Season of sprouting)
Kiangazi (Majira ya joto) Summer (Season of heat)
Demani (Majira ya mapukutiko) Autumn (Season of the shedding [leaves])
Kipupwe (Majira ya baridi) Winter (Season of cold)
ACCORDING TO MOHAMMAD, SUMMER HEAT IS CAUSED BY HELLFIRE
Hellfire complains to Allah
Narrated Abu Huraira: Allah's Apostle said, "The (Hell) Fire complained to its Lord saying, 'O my Lord! My different parts eat up each other.' So, He allowed it to take two breaths, one in the winter and the other in summer, and this is the reason for the severe heat and the bitter cold you find (in weather)."
Sahih Bukhari 4:54:482
Do you believe in him?
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW