Friday, September 21, 2018

MUHAMMAD APEWA KIPIGO CHA KUFA MTU NA MAKURESHI, ANG'OLEWA MENO NA KUWA KIBOGOYO.

Image may contain: 1 person, smiling, beard


MUHAMMAD APEWA KIPIGO CHA KUFA MTU NA MAKURESHI, ANG'OLEWA MENO NA KUWA KIBOGOYO.
ALITANDIKWA VIBAO NA KUZAMISHA MISUMARI MASHAVUNI
MUHAMMAD AKAPOTEZA FAHAMU NA KUDHANIWA KAFA.
Kitabu cha MAISHA YA NABII MUHAMMAD, KILICHOANDIKWA NA SHEIKH ABDULLAH SALEH FARSY, UK 57 PARAGRAPH YA 2. AMBAPO katika Paragaph ya 1 kuna habari ya Vita vikubwa ambavyo Waislamu walizidiwa na Makureshi, ambao walimshambulia Muhammad kwa mawe na kumg’oa meno ya barazani, na kumzamishia Misumari mashavuni, na kisha Waislamu kumkimbizia kwenye Jibali ili asiuawe, kisa ikiwa ni Muhammad kutaka kuwabadili Wapagani wawe Waislamu, Paragraph ya 2 Nainukuu.
"Wakati huo wote walikuwa wamekwisha kupumzika, na Makureshi wote wamejikusanya pamoja tayari kwa kuondoka. Mara Masahaba wakasikia sauti ya Abuu Sufyan Mkubwa wa Makureshi inanadi-inasema “Muhammad yu hai au amekufa? Muhammad yu hai au amekufa?? Mtume akawaambia masahaba zake wasimjibu. Mara ikanadi tena, “Abubakari yu hai au amekufa? Abubakar yu hai au amekufa” pakawa jii vile vile pasipatikane jawabu, Ikanadi tena kwa mara ya tatu Ikisema, “Umar yu hai au amekufa? Umar yu hai au amekufa?” Ilivyokuwa Jii Vile vile yule Abu Sufyan alisema, “Wallahi hawa wote wamekwisha kufa.” Sayyidna Umar alishindwa kustahimili kusikia haya alinyanyua sauti na kumijbu, “WOTE HAO UNAOWATAJA WA HAI, WAKO TAYARI KUKUTANA NA WEWE NA MAJESHI YAKO KILA WAKATI”
Hivi Allah alikuwa wapi wakati Marehemu Muhammad anatandikwa na kung'olewa meno?
Kumbe Muhammad alikuwa Kibogoyo
Shalom,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW