Friday, September 7, 2018

ALLAH NI MCHUNGAJI WA WAKOSEFU WOTE (WAISLAM).


Hakuna kukanusha hapa kuwa Allah wa waislamu, ni Mchungaji wa waovu yaani waenda Jehanamu.
Quran 19:86 Na tukawachunga wakhalifu kuwapeleka Jehanamu.
Kumbe Waislamu ni wakhalifu wanaochungwa na Allah akikusuhudia kuwapeleka jehanamu!!
Ufafanuzi wa aya hiyo qur'an iliyotafsiriwa na shekhe Baruan,
Inasema: Quran 19:86 Na tutawachunga wakosefu kuwasukumia Jehanamu nao wamebanwa na kiu, kama wanavyochungwa wanyama kwenda kwenye maji.
Quran 40: 60. Na Mola wenu Mlezi anasema: Niombeni nitakuitikieni. Kwa hakika wale ambao wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike.
Waislam msikilizeni Mchungaji huyu hapa. Yohana 10:11 Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.
1. Jamani kuna haja gani kumfata Allah aneyewapeleka watu Jehanamu?
2. Ipo wapia aya katika Kor'an Allah kasema yeye Mchungaji Mwema?
3. Kwanini Allah ni Mchungaji wa wakhalifu?
Shalom
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu. Tito 2:13Image may contain: text

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW