Friday, September 21, 2018

YESU ANAITWA MUNGU NA BABA YAKE

Image may contain: text
YESU ANAITWA MUNGU NA BABA YAKE
Waebrania 1:8 Lakini kuhusu Mwana, anasema: “Kiti chako cha enzi, Wewe Mungu, kitadumu milele na milele, na haki takuwa fimbo ya ufalme wako. 9 Umependa haki na kuchukia uovu. Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekuchagua wewe na kukuweka juu ya wenzako kwa kukupaka mafuta ya furaha.” 10 Pia anasema: “Hapo mwanzo , Wewe Bwana, uliweka misingi ya ulimwengu, na mbingu ni kazi ya mikono yako.
Huitaji Digrii kuelewa hizi aya rahisi kabisa, na wala huitaji kufudhu chekechea kukubali kuwa YESU NI MUNGU.
Teyari Mungu Baba amesha kujibu wewe unaye pinga Uungu wa Yesu, kuwa
1. YESU ANA KITI CHA ENZI. -Aya ya 8
2. YESU NI MUNGU. - Aya ya 9.
3. YESU ANA UFALME. - Aya ya 8
4. YESU ALIWEKA MISINGI YA ULIMWENGU NA MBINGU. - Aya ya 10
5. YESU NI WA MILELE- Aya ya 8.
Shalom.
Max Shimba Mtumwa wa Yesu Kristo Mungu Mkuu

No comments:

THE SEVEN PROPOSALS OF MUHAMMAD THAT WERE REJECTED

  1. Why did some women reject Muhammad's proposals? 2. Why did Muhammad continue to propose despite the rejections? Dear reader, Today ...

TRENDING NOW