Sunday, November 27, 2016

ALLAH KWA KIEBRANIA MAANA YAKE NI LAANA “CURSE”




Ndugu msomaji,
Je, hili limetokea kwa bahati mbaya?
Isaya 24: 6 Ndiyo sababu laana [“alah”] imeila dunia hii, na hao wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia, ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea, watu waliosalia wakawa wachache tu.
Huu uvumbuzi ulieleweka baada ya kuangalia neno la Kiebrania la “LAANA –CURSE”- linatamkwa kwa Keibrania “alah” sawa sawa na Allah wa kwenye Quran. Nilifanya uchunguzi zaidi kuhusu na kulinganisha neno la Kiebrania “ALAH” na la Kiarabu Allah; yote yapo sawa, isipokuwa tofauti ndogo ya ongezeko la “L” kama ifuatavyo:
אלה , alah (“curse = laana” in Hebrew) na الله , Allah (“mungu katika Kiislamu”), wakati:
א = aleph (Heb) ni sawa sawa na ا = alif (Arab), au “A” katika Kiingereza
ל = lamed (Heb) ni sawa sawa na ل = lam (Kiarabu), au “L” katika Kiingereza; “Allah” ina “L” mbili katika Kiarabu na kiislamu
ה = heh (Heb) ni sawa na ه = ha (Kiarabu), au “H” katika Kiingereza
Inashangaza sana neno la Kiebrania la “laana” na neno la Kiarabu la “Allah” sio tu yanatamkwa vilevile bali yana maana ileile.
Kuna wazo linaitwa “the law of first occurrence” (labda lipo zaidi kama sharia Fulani) ambapo unapo weza kuona neno Fulani huwa linaweza kukusaidia katika na au kivipi neno la Mungu lina maanisha.
Katika kuchunguza “curse –laana” (אלה , alah), neno hilo limeonekana katika Hesabu 5 ya ‘the adultery test’, Njia ya Mosaiki ya kuangalia ukweli kuhusu mume au mke kama una kosa au la.
Kuna mwanzo wa neno “curse-laana” katika Kiebrania (arar); lilitumika kwa mara ya kwanza katika bustani ya Edeni Mwanzo Mlango wa 3 aya ya 14 na 15:
Mwanzo 3: 4 Bwana Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umeLAANIWA wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako; 15 nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.
KWA MARA YA KWANZA “laana” ilitumiwa kwa Nyoka ambaye ni Shetani; labda tuangalie kwa makini, kama ALLAH inamaanisha LAANA katika Kiebrania, naamini sio kosa tukiendelea kumhusisha Allah wa Waislam katika hili neno LAANA.
Strong’s Concordance namba 422 nayo inakiri kuwa neno la Kiebrania lenye maana ya laana ni ALAH. http://biblehub.com/hebrew/422.htm

Ndugu msomaji, je, unafikiri hili ni tukio la bahati mbaya tu kwa jina la Allah kuwa na maana ya LAANA katika Kiebrania lugha ambayo Adam na Hawa waliitumia?
Kwa mara nyingie tena, tunajifunza kuwa Allah maana yake ni Laana katika Kiebrania.
Je, wewe unaye soma hii mada, unafikiriaje kuhusu maana ya hili neno la Kiebrania “ALAH” LAANA kwa Allah wa Waislamu?
Hivi, Mungu gani angependa kuitwa/jiita laana kama ambavyo jina la Allah wa Waislam linavyo maanisha katika Kiebrania?
Uchaguzi ni wako, wa kumfuata Allah mwenye maana ya LAANA au Mungu Yehova wa Biblia ambaye ni upendo. Kumbuka kuwa Yesu anakupenda sana.
HATUUTAKI UISLAMU KWA KWA KUWA MUNGU ANAE ABUDIWA NA WAISLAMU ANAISHIA
JAHANAMU
Hadithi ya Anas Ibni Malik (r.a) kuwa Mtume (s.a.w) amesema jahanamu itaendelea kusema, “Je, kuna nyongeza”? Mpaka Allah atakapoweka humo unyayo wake na hapo utasema, Qat Qat (inatosha inatosha) naapa kwa nguvu zako na zile sehemu zake nyingine zitakaribiana na kuwa pamoja” (Bukhari Hadithi Na. 654, Juzuu ya
SHETANI NI MUSLAMU
Ni bahati mbaya kwamba Adamu Hawa hawakufanikiwa kufanya jitihada za kumwezesha shetani na wanae kuuomba msamaha kwa mwenyezi Mungu na kuwa Waislamu, ni mtume Muhammad tu ndiye aliyemsilimisha shetani akawa muislamu… (KITABU CHA ASILI YA MAJINI UK 20)
Sasa Ikiwa shetani ni muislamu, na sisi tunajua kuwa shetani yeye ndiye adui yetu namba moja ambaye sisi hatupaswi kushirikiana nae,
Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni shetani, nae atawakimbia.
Sasa iweje tena tumfuate shetani katika uislamu? Kwa kuwa shetani ambaye aliwadanganya Adamu na Hawa ni muislamu, sisi Wakristo tunaojitambua hatuutaki Uislamu.
Ni mategemeo yangu kuwa, somo hili litakufungua macho na kuachana na Allah ambaye ni laana kwa Kiebrania. Zaidi ya hapo, kuachana na Uislam ambao hata Shetani amesilimishwa na Muhammad na kuwa wa hiyo dini. Sahih hadith kama ilivyo simuliwa na Bukhari Hadithi Na. 654 inakiri kuwa Allah ataingia Jehannam. Je, wewe unataka makao yako yawe na Allah anaye ingia Jehannam au Yesu ambaye ndie atakaye hukumu huyo Allah na wafuasi wake?
Nakusihi umchague Yesu anaye kupenda na anakutayarishia makao mema. Soma Yohana 14: 2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. 3 Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi mwepo.
Mungu awabariki sana.
Ni mimi Max Shimba, mtumwa wa Yesu Kristo,
For Max Shimba Ministries Org,
MAX SHIMBA MINISTRIES ORG ©2016. ALL RIGHTS RESERVED
Everyone is permitted to copy and distribute verbatim copies of this license document, but changing it is not allowed.
March 13, 2016

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW