MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI.
JAMANI HUU NI MSIBA MKUBWA SANA.
Quran 4 :43. Enyi mlio amini! Msikaribie Sala, hali MMELEWA,………
Hii aya haikatazi pombe bali inatoa ushauri juu ya Waislam ambao walikuwa wanasali huku wamelewa.
Hii aya haikatazi pombe bali inatoa ushauri juu ya Waislam ambao walikuwa wanasali huku wamelewa.
MUHAMMAD ALIKUWA MLEVI:
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA"

Biblia ishaonya vileo kabla ya Muhammad, na Muhammad anadai anasadikisha ya manabii waliopita, swali halishindwa kusadikisha ayah ii ifuatayo mpaka akanywa mvinyo mkali? Tazama…
Isaya 5:22 Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Muslim-3721 Mtume wa Allah alikuwa anatumia chombo(bakuri) cha jiwe kunywea mvinyo.
Mithali 23:31,32 Usiitazame mvinyo iwapo ni nyekundu; Iitiapo bilauri rangi yake, ishukapo taratibu.Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.
(Muslim-AlHayd-451). Aisha alikuwa anammiminia mvinyo mtume wa Allah asubuhi na usiku na pia alikuwa anampelekea ndani ya msikiti.
Quran 16: 67. Na kutokana na matunda ya mitende na mizabibu mnatengeneza ULEVI na riziki nzuri. Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili
Quran 47:15. Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya ULEVI yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?
Malaika nao wanakunywa mvinyo?
Kuna madai katika Uislam ya malaika walikuwa wanamuuliza mwanamke maswali lakini Yule mwanamke hakuwajibu maswali yao mpaka wanywe pombe, nao wakanywa pombe wakalewa na kuua mtoto. (Musnad Ahmad- Musnad almukathareen-5902)
Watu wa karibu wa muhamad wanywa pombe

Hamza alikunywa mpaka muhamad akaogopa maana alilewa mpaka akawa km mwendawazimu. (Bukhari-V,4-B,53-324)
Anas Bin Malek alikuwa akitumika kuwahudumia watu mvinyo (Muslim: 23.4884, 4886)
Mujahedeen walikunywa pombe na kulewa katika vita vya Uhud. (Bukhari-V4, B52, Nr 70)
Makhalifa (warithi) wa Muhammad wanywa pombe (the protectors of Islam)
Yazid I (680-683): alikuwa mtoto wa Muawiyah. Alilewa kila siku mpaka akapata jina la Yazid al-Khumur, Yazid mlevi.
Abd al-Malik (685-705): Alikuwa anakunywa pombe mara moja kwa mwezi; alikuwa anakunywa sana sana mpaka inambidi atumie dawa za kuzuia kutapika ili aendelee kuitunza pombe yake aliokunywa.
Al-Walid I (705-715): Alikunywa na kulewa kila siku.
Hisham ((724-743): Alikunywa mvinyo kila ijumaa baada ya swala.
.
Al-Walid II (743-744): Mtoto wa Yazid ’. Aliogelea kabisa katika ziwa la pombe mpaka akashindwa kujitambua kabisa mpaka alikuwa akirusha vipande vya Quran kwa kutumia upinde na mshale.
.
Al-Walid II (743-744): Mtoto wa Yazid ’. Aliogelea kabisa katika ziwa la pombe mpaka akashindwa kujitambua kabisa mpaka alikuwa akirusha vipande vya Quran kwa kutumia upinde na mshale.
Pia Khalifa wa Abbasid al-Mamun aliyetawala mwaka 813-833 baada ya muhamad alikuwa mlevi wa mvinyo kila siku. (Hitti, p.306). Na Makhalifa wa Abbasid ndo waliokusanya hadithi nyingi za muhamad, na pamoja na hadithi mashuuri sana ya sahih Bukhar ilikamilika mwaka wa 830-840, miaka 200 baada ya Muhammad. Na pia ndio dola ya kwanza ya kiislam (makhalifa) baada ya Rashidun na Ummayed kaliphate kupiga marufuku pombe. Kwaiyo kuanzia Muhammad mpaka ukhalifa wa Abbasid bado waislam walikuwa wanakunywa pombe.
Rejea: ( Mishkah, vol. ii, pp.172-3;; Sahih Bukhari, ibn Hanbal, Musnad (Cairo, 1313), vol.i, pp. 240,287, 320 vol. vi, p.232 (History of the Arabs; Philip K. Hitti, ch. xxvi, p.337)
No comments:
Post a Comment