Tuesday, November 22, 2016

MAANA YA NAMBA 666? (SEHEMU YA NNE)


Dini ya Uislam ni ya Mpinga Kristo
Ndugu Msomaji,
Leo nitawathibitishia kwa kutumia Biblia na Quran kuhusu nani ni Mpinga Kristo. Hebu tuanze kwa kusoma neno la Mungu.
WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 4:1-6
Wapenzi msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho kwamba zimetokana na Mungu, kwa sababu manabii wa uongo wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu , kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu. Na kila roho isiyomkiri Yesu haitokani na Mungu. Na hii ndiyo roho ya Mpinga Kristo, ambayo mmeisikia kwa yaja , na sasa imekwisha kuwako duniani, ninyi watoto wadogo mwatokana na Mungu nanyi mmewashinda kwa sababu yeye aliye ndanii yenu ni mkuu kuliko yeye aliyeko katika dunia.hao ni wa dunia , kwa hiyo wanena ya dunia na dunia huwasikia. Sisi twatokana na Mungu . yeye amjua Mungu atusikia na yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili twamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.
Kwanza: Biblia inatufundisha kuwa Mpinga Kristo ni yule ANAYEKATAA KUWA YESU KRISTO HAJAJA KATIKA MWILI…YANI SIYE MWANA WA MUNGU, Soma (2 Yohana 1:7) na hapa tunawaona Waisilamu ndiyo namba moja wa kukataa hilo, sasa je, ni nani ni Mpinga Kristo kama si nyinyi waislamu? Isitoshe bado mnakazania kuwa YESU SIYE KRISTO Kwa madai kuwa eti huyo Kristo ni wa Paulo, na hapo pia Biblia inatuthibitishia kuwa nyinyi waislamu ndiyo haswa ni Wapinga Kristo…tazama na uthibitishe mwenyewe kwenye (1 Yohana 2:22).
Sisi Wakristo lazima tufahamu kuwa Mpinga Kristo kwa mujibu wa Biblia ni yule anayekataa kuwa YESU KRISTO NI MWANA WA MUNGU ALIYESHUKA KATIKA MWILI ILI KUTUOKOA SISI WANADAMU HAPA DUNIANI…Huu ndiyo msingi wetu sisi Wakristo ambao Waislamu wote duniani wamefundishwa na mungu wao Allah kuupinga kabisa kabisa msingi huu…Sasa lazima tujiulize Mpinga Kristo haswa ni nani? Jibu ni rahisi mno ‘ALLAH NA DINI YAKE YA UISILAMU’.
Pili: Mtu yeyote ambaye hamwamini Bwana Yesu ya kuwa ni Bwana na Mwokozi wa maisha yake huyo tayari ni mpinga Kristo kwa sababu hana ushirika nayeye na wala hamuabudu yeye kabisa. Aliye hivyo huyo anaitwa Mpinga Kristo na ule mwisho Yesu akija kuhukumu ulimwengu hatawachukua hao wasiyo mwabudu yeye, na Nabii huyo Yesu wa Nazareti. Nabii huyu watu wanamjua ni nabii wa Mungu na ndiye atakayekuja kuhukumu ulimwengu siku ile ya kiama. Sasa kama hapa tu sasa hivi unampinga, je jiulize swali nayeye atakukubali uende naye uzimani alipo yeye? Jibu hatakuchukua na ameniambia niuambie ulimwengu wote atakaye sikia na asikie atakayekataa shauri lake. Wote wasiomwabudu yeye 100% ni wapingaji wa kumpinga Yesu Kristo na hao ni wapinga Kristo.
Tazama sasa shetani alivyoitumia Quruani kuwa Mpinga Kristo wa wazi wazi kabisa!! Kwa sababu alijua kabisa kuwa Mwana wa Mungu na damu yake ya wokovu pale Msalabani vingewaletea wanadamu wote neema ya Mungu na kuwatoa katika utumwa wa dhambi na hukumu dhidi ya sheria au haki ya Mungu, soma (Zaburi 85:13). Akaona azuie njia ile ya Mungu ili watu waangamie!!. Fahamu kuwa msamaha wa dhambi katika Torati ni damu ya wanyama, soma (Walawi 17:11) na msamaha wa dhambi katika njia ya Mungu (Injili) ni Yesu Kristo) soma (Isaya 53:4-12) linganisha na (Waefeso 1:7).
Sasa baada ya yote haya, namalizia na mpambano mkali kati ya MPINGA KRISTO (ALLAH NA KURUANI YAKE) DHIDI YA BIBLIA NENO LA KWELI LA MUNGU.
Ndugu msomaji utakaesoma mpambano huu sitanukuu moja kwa moja maandiko lakini nitakachokiandika, mashahidi mtakuwa wenyewe kuona kama ni kweli au uongo ya kuwa vitabu hivi vinapambana kiasi hicho..nami sitaandika uongo kamwe.
Hebu tuanze:
BIBLIA: ‘Yesu Kristo alisulubiwa. QURAN: hapana hapana walimsulubisha mwandaazimu mwingine wakizani ndiye!!.
BIBLIA: Yesu ni Mwana wa Mungu. QURAN: ni uongo kwa kuwa Mungu hana mwana wala hazai!!.
BIBLIA: ’tunapata msamaha wa dhambi kupitia damu ya Yesu. QURAN: sivyo kabisa…Mnyaai Mungu ndiye akusameheni madhambi yenu pale mtakapoenda Makka japo mara moja kuhiji. (kiswali chandu cha uzushi..wale masikini je?..Ndiyo kusema pepo ni ya matajiri tu?!!).
BIBLIA: Majini wana asili ya mashetani, ni kundi au jeshi la yule muovu, msishirikiane nayo katika ibada wala kuwatolea sadaka.
QURAN: ALLAH asema: nimekuumbeni na majini ili mpate kuniabudu!! (swali la uzushi:Shetani na majini yake yanaabudu na waisilamu ili yaende wapi wakati wao walisha laaniwa na wanachosubiri ni jehanam tu!!).
Huu ni Msiba Mwengine katika dini ya Allah ambayo sasa tumejifunza kuwa ni ya Mpinga Kristo.
Nawakaribisha kwa Mungu Mkuu ambaye ni Yesu Kristo aliye hai.
Katika huduma yake,
Max Shimba mtumwa wa Yesu Kristo
For Max Shimba Ministries Org

No comments:

FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE

  **URGENT UPDATE**   **FORMER MUSLIM EVANGELIST MUSA BELLO ARRESTED BY NIGERIAN POLICE** Shimba TV, New York has received distressing news ...

TRENDING NOW