Saturday, October 1, 2016

ALLAH AMEKUBALI KUWA MLEZI WA SHETANI AMBAYE NI IBILISI JOKA KUU.


1. Shetani akiri kuwa Allah ni Mola wake Mlezi.
2. Asema Allah ndie aliye mfundisha kutenda dhambi.
3. Asema na yeye atafanya maovu aliyofundishwa na Allah kwa Binadamu
4. Tabia za Shetani na Allah zafanana
Nini maana ya mlezi?
Mlezi ni mtu au kiumbe ambaye analea au mtoto wake au ndugu yake au analea kiumbe chenye uhai, kwa maadili ya huyo mlezi ambayo yana kuwa kifikra, kimatendo na kiufahamu.
SOMA:
Surah Al Hijr 39. Shetani akasema: Mola wangu Mlezi! Ilivyo kuwa umenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote,
[Sûrah al-A`râf: 16-17], [Sûrah al-Isrâ’: 62] ,
Aya hapo juu inatufundisha jinsi ambavyo Allah analea viumbe wake kama Ibilisi ANAVYO LELEWA NA ALLAH. Malezi ya Allah ni kuwatia watu makosani ili wawe watenda dhambi kama Shehetwain.
Ndugu zanguni, huu ni MSIBA mwingine Mkubwa sana kwa Dini ya Jibril. Leo tunajifunza kutoka aya ambayo Jibril aliiteremsha kwa Muhammad. Aya hii katika Surat Al Hijir inakiri kuwa ALLAH NI MOLA MLEZI WA SHETANI. IKIMAANISHA KUWA , SHETANI AMBAYE NI IBILISI ANALELEWA NA ALLAH.
Sasa Kama Allah ndie Mlezi wa Shetani, na sie wote tunafahamu kuwa Shetani kazi yake ni kufanya Maovu, Kuua watu, na kuendeleza ubaya hapa duniani, JE, inamaanisha hayo yote Shetani kajifunza kwa Allah?
Shetani anaendelea kusema kuwa, NI ALLAH ndie aliye mtia makosani, Je, inamaana kuwa MALEZI ya Allah ndio yaliyo mfunza ubaya na dhambi Shetani?
Shetani anaendelea kusema na kukiri kwa Allah kuwa, NUKUU "basi nahakikisha nitawazaini hapa duniani na nitawapoteza wote" ATAWAPOTEZA WATU WOTE,
Swali: Kwanini Allah alikaa kimya wakati Shetani anajitamba kufanya mabaya kwa viumbe visivyo na hatia? Au ni kwasababu yeye Allah ndie aliye mfuza ubaya Shetani, ndio maana alishindwa kumkanya au mwonya Shetani?
Ndugu zanguni, sidhani kuna Muislam atakaye weza bisha na au ipinga hii aya ambayo ipo wazi kabisa kuwa, ALLAH NI MOLA MLEZI WA SHETANI na ALLAH NDIE ALIYE MFUZA UBAYA SHETANI. Huu ni MSIBA MKUBWA SANA KWA WAISLAM.
Waislam, ningependa mtujibu sio kwa jazba bali kwa aya, KWANINI ALLAH HAKUKATAA KUITWA MOLA MLEZI WA SHETANI?
Max Shimba Ministries Org

No comments:

WHY CHRISTIANITY IS BETTER THAN ISLAM?

Has Islam Improved to Become Better Than Christianity? Does Muhammad fulfill and complete the mission and purpose of Christ? Muhammad emphat...

TRENDING NOW