Friday, November 4, 2016

PAPUA NEW GUINEA: WAISLAMU ZAIDI YA 4,500 WABATIZWA KWA MAJI MENGI.


-Zaidi ya Waislamu 4,500 wamebatizwa kwa ubatizo wa maji mengi katika mkutano wa injili uliofanyika katika nchi ya Papua new Guinea ambayo ipo kusini mwa Bahari ya Pasifiki Barani Afrika.
-Wachungaji wapatao 50 walihusika katika ubatizo huo , àmbapo wabatizwa walikua wakijipanga kwenye mstari ili kuelekea kwenye ubatizo.
-Katika mkutano huo uliokua ukifanyika katika uwanja wa "Sir John Guise Stadium", watu zaidi ya 100,000 walikua wakihudhuria na baadhi ya watu walikua wakikaa nje ya uwanja kwa kukosa nafasi kutokana na wingi wa watu , Idadi hiyo inakadiriwa kuwa nusu ya Wakazi wa nchi hiyo ..
-Wabatizwa wote walipewa vyeti vya ubatizo na Biblia.
-Endelea ku like page yetu kwa habari zaidi za injili.
—with information from the Carter Report ministry

No comments:

WAS MUHAMMAD PROPHESIED IN THE BIBLE?

SURAH 61:6 Muslims believe that the coming of Muhammad was foretold in the Bible. For centuries, Muslims have tried to find predictions of t...

TRENDING NOW