Friday, August 26, 2016

UPO WAPI UTHIBITISHO WA AYA KUWA MUHAMMAD ALITAIRIWA?

KUMBE MTUME MUHAMMAD HAKUTAIRIWA.
Ndugu msomaji,
KATIKA sehemu nyingi za ulimwengu, watoto wa kiume wanatahiriwa kwa sababu za kiafya. Watu fulani katika nyakati za zamani, kama vile Wamisri, walitahiriwa, yaani, walikatwa magovi ya kiungo chao cha kiume.
Yesu alitahiriwa. Kwa mujibu wa Agano la Kale, mapokeo haya yalianzia na Mtume Ibrahimu, Katika Mwanzo 17:10-13, imeandikwa, “Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa. Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na nyinyi. Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako. Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa na fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
Katika Injili kwa mujibu wa Luka 2:21: “Hata zilipotimia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu; kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.” Kwa hiyo, kutahiriwa ilikuwa ni sehemu ya njia ya Yesu.
LAKINI NILIPO ISOMA QURAN NA KUSOMA VITABU VINGINE VYA KIISLAM KAMA SAHIH AL BUKHARI, NIKAGUNDUA KUWA, NABII WA ALLAH AITWAYE MUHAMMAD YEYE HAKUTAIRIWA NA HAKUNA UTHIBITISHO WA KIMAANDIKO AU HISTORIA KUWA MUHAMMAD ALITAIRIWA.
Waislam bila ya jazba wala kutokwa mapovu. Naomba mnijibu swali langu:
Kwanini mnafuata Muhammad nabii wa Allah ambaye hakutairiwa?
Kumbuka kutuna hakufai na ni ishara kuwa wewe umejambiwa mdomoni na Shetani:
Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa: Mtume (s.a.w) amesema, "Ye yote mwenye kutukana, basi huyo amejambiwa na Shetani katika Mdomo wake." (Fat'hul Baary J. 10, Uk. 176)
NATANGULIZA POLE KWA WAISLAM KWA KUMFUATA MUHAMMAD AMBAYE HAKUTAIRIWA.

5 comments:

Unknown said...

UNALO ANDIKO LINALOONYESHA KUWA, DAUDI NA SULEIMAN WAMETAHIRIWA?

Unknown said...

WEWE umeishiwa na hoja, Kama huna la kufundisha kaa kando, hata hauna aibu unataka kujua mwanaume mwenzako ametahiriwa ndio upate nini? Mtume katairiwa

Anonymous said...

Muhammad alikufa na govi na hakutairiwa .

Unknown said...

] Almujdy: *MTUME SWALLALLAHU ALAYHI WASSALAM ALITAHIRIWA NA BABU YAKE SIKU YAKE YA SABA.*

قال ابن العديم:

وقد جاء في بعض الروايات أن جَدَّه عبدالمطلب ختَنه في اليوم السابع،

قال: وهو على ما فيه أشبه بالصواب، وأقرب إلى الواقع؛

(زاد المعاد لابن القيم 1/ 206)

AMESEMA IBNU ADIM: ZIMEKUJA BAADHI ZA RIWAYA MAPOKEZI KUA:

BABU YAKE MTUME, ABDUL MUTWALIB ALIMTAHIRI SIKU YAKE ya SABA.

Akasema ibnunl adim: NI hii inaelekea ndio Sawa na Ndio Hali halisi (waliokua nayo waarabu kumtahiri Mtoto siku yake ya Saba ya KUZALIWA).

Kitabu zadil maad. Cha ibnul qayyim. Juzuu ya Kwanza. Ukurasa 206.

*KATIKA SIKU SABA (7) ALIMTAHIRI kama ADA YA WAARABU.*
Ibn HISHAM JUZUU YA 1 UK 159-160.*

*HII HADITHI IKO WAZI KURUDI TUHUMA ZA MAKAFIR WASIO NA DINI KABISA NA WANAO JIITA WAKRISTO.**
[ Qur'an Sio biography ya Mtume muhamad. Ndani ya Qur'an hakuna siku Alio zaliwa, Alio pewa utume, Alio gura wala alivaa ini na Kula nini na majina ya wazazi wake, wake zake , watoto wake na maisha yake jumla hayamo ndani ya Qur'an.
[
Qur'an Sio kama bibilia

Neuroplasticity, Spiritual Formation, and Holistic Redemption in Christ

Neuroplasticity, Spiritual Formation, and Holistic Redemption in Christ By Dr. Maxwell Shimba, Shimba Theological Institute Introduction ...

TRENDING NOW